Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mount naye kashindwa kufunga open space ile pass ya kukubroiler ,anabinua kalio tu mpaka rudiger kablock mpira ,halafu ndio huyu anataka 250k , pumbav
 
Hatuelewi ila ninyi mlitiua aibu kabisa
Kumbuka magoli yenu ni sifuri
Sisi angalau tulitikisa nyavu.


Nilikuwa active kutimiza ahadi niliyoiweka.
Nilijua tu hamtaweza kupindua meza nyie makubwa jinga ya wiki[emoji1787]
 
Kumbuka magoli yenu ni sifuri
Sisi angalau tulitikisa nyavu.


Nilikuwa active kutimiza ahadi niliyoiweka.
Nilijua tu hamtaweza kupindua meza nyie makubwa jinga ya wiki[emoji1787]
Makubwa jinga ambayo hukuchukua point hata 3 mechi zote nnje ndani EPL msimu huu?

Kweli ukapimwe akili [emoji23]
 
Lampard ni mwamba.


Oh Benzema amechoka,
Oh tutawachapa.


Mshukuru sana mshkaji kepa kawaokoa sana
Vinginevyo tungezungumza mengine
JamiiForums2002144580.jpg


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Toka mwanzo niliuliza tunaenda kujilinda Santiago bernabeu?

Viungo watatu wa kazi gani?

Mbele hakukuwa kumebalance.
 
Umeongea kwa uchungu sana mwana Blues mwenzetu.

Karibu hapa Kinyerezi tupige gambo na Pisi Kali wetu Carleen...[emoji28]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom