Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
Tuna imani na lampard
Mbele hakujabalance haya kipindi.cha kwanza umekiona?Mbele mbona pako sawa tuu...hapo bado reece james na chilwell hawajaongezeka
Pia nazan ata enzo leo atacheza juu zaidi
Mbele hakujabalance kama unaangalia mpira utakuwa unanielewa. Katikati wamejazana watu na hakuna cha maana kinafanyika.Kwa mfumo wa mabeki watatu goal contribution inatoka kwa wing backs (Chilwel na Reece)
Mlisema mnawachinja Madrid hukohuko kwaoMbele hakujabalance kama unaangalia mpira utakuwa unanielewa. Katikati wamejazana watu na hakuna cha maana kinafanyika.
Acha kukejeli imani za Watu Chifu, una hoja lakini usihusishe na imani za Watu Ndugu yangu.Lampard ni Ebenezer tunamuamini apewe mkataba wa maisha
Chelsea imepigwa na Wolves na timu chungunzima zinatamani kucheza nayo afu unaisifia hii Real Madrid kwa lipi?Uyu Luka na Toni wanajua afu wanakeraa
Usiogope Mama, niko pamoja nawe nihakikishe hukosi furaha maana duniani tumekuja kufurahia mema si kuteseka [emoji2]Kuwa wa blue inahitaji sana moyo jamani..!![emoji17][emoji119]
Lampard ni our saviourAcha kukejeli imani za Watu Chifu, una hoja lakini usihusishe na imani za Watu Ndugu yangu.
Usiseme sijakwambia...[emoji124]
Andaa tunu yetu tukupige supu maana ulituahidi tukudai chochote we Pisi Kali wa Liverkuku [emoji39][emoji16]
Hii mechi inawafaa piaFelix anatakiwa kutoka naona kama yupo slow sana Hana maamuzi ya haraka hii mechi ilikuwa INAMFAA mason mount