Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndio maana nikapendekeza Luis Enrique ndio anatufaa
 
Ndio maana nikapendekeza Luis Enrique ndio anatufaa
Naomba nipingane na wewe kidogo. Kwa maoni yangu Luis sio mzuri ki hivyo, mafanikio pekee aliyopata ni pale Barcelona chini ya umbrela ya Messi, nje na hapo anastrugle sana
Hana Command na wachezaji atatupotezea muda. Luis hataweza kushindna na akina PEP, Arteta na KLop na hata hao makocha wengine. Kwa maoni yangu hatawaweza hawa wachezaji. I don't ruleout. Ni kocha mzuri ila sio wa carder tumtakaye. Najua Boehly hawezi kumsogelea Conte kwa sababu wanamtaka Kocha watakayemshika masikio na kumburuta
 
Tuchel came in to replace lampard

Potter came in to replace Tuchel

And now Lampard come in to replace Potter who replace Tuchel who replace Lampard


Hakuna rangi mtaacha kuiona KENGE nyie[emoji1][emoji1]
Wee takataka timu yako itabeba bakuli siyo ndoo
 
Kumfanya neymar awe anapress si kazi ya kitoto kama hauna command Tuchel mwenyewe kashindwa pale psg. Enrique ni command kocha kama humfahamu vizuri
 
Hata hiyo Conference hatutaiona. Jamaa ndio atatusimika rasmi nafasi ya 11 akijitahidi nafasi ya 12
Last time nimeingia humu hii ndio ilikua comment yangu ya mwisho baada ya Lampard kupewa kibarua. Kiukweli hii thread imekua chungu sana kwangu naumia na moyo wangu na sina la kufanya. Sijui kwanini tunapitishwa hiki kipindi. Kwamba siku za neema ndio zimekwisha kabisa Daaah!!

Thread huwa naipita kama naaga maiti msibani hasa siku za mechi. Kukitulia kama hivi ndio nakuja
 
Simama muimbie Bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
Lampard ni mkombozi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…