Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,957
- 7,698
Potter hakuna mshabiki wa chelsea atakae kukumbuka .....umetuharibia timu yetu mshenzi wewe!!
Juliana anatoshaulituimbia sana sasa ukae kimya nenda kwa milner kule
Mbona mm nimeshasahauKumfukuza Tuchel ilikuwa ni kosa kubwa sana ambalo haliwezi kusahaulika.
Mm nitamkumbuka milele daima....oooh sorry umesema shabiki wa Chelsea mm ni shabiki wa fc bandari ya tangaPotter hakuna mshabiki wa chelsea atakae kukumbuka .....umetuharibia timu yetu mshenzi wewe!!
Tofauti ya 1pts, huku akiwachomoa PSG, Group stage kapiga Barce,Inter wote hawaMbona Bayern kwenye ligi kashindwa na timu yenye wachezaji wazuri kuliko hata Chelsea?
Tuna game mbili kabla ya kucheza uefa. Kesho kutwa ipi tena?Maamuzi mazuri kumtimua potato ila yamefanywa wakati mbaya (bad timing) ukizingatia tuna game ya UEFA kesho kutwa na hatujui huyo atakaekuja atakuwa na falasafa gani
Anyway acha tuwe wapole
Tuchel yupo Bayern, Hapo unaongea vitu haviwezekani.Yn ht huyo Juliana Sina imani nae, timu kubwa haiwezi kusubiri au kuchukua managers waliokosa kazi au waliofukuzwa na kuwaleta kwenye timu kubwa kama Chelsea.
Pesa si ipo.? Tuchel arudi mzigoni
Issue ya Bayern kwenye ligi sio ya siku moja wala ya pointi moja. Graph yake ya performance ilikuwa ina curve negatively. Kwenye ile ligi ya wakulima ilitakiwa Bayern at that pount awe 10+ pts deference but badala yake unapitwa na timu ya kawaida iliyopigwa na Chuck Noris. Kuhusu Uefa sio kipimio kizuri kwa sababu ni ligi fupi. Thats is!Tofauti ya 1pts, huku akiwachomoa PSG, Group stage kapiga Barce,Inter wote hawa
Unahisi hicho kitu potter angeweza?
Stil ningependelea Luis Enrique
Matumizi yangu makubwa ni Kusoma habari za kisiasa kitaifa na kimataifa, kufuatilia kuhusu Teknolojia, Habari za michezo (siyo live) nkUnatumia Twitter.? Kama unatumia em nambie matumizi yako huko.
Tyr nmekukumbushaMbona mm nimeshasahau
Kama unafatilia vizuri wala hajashindwa Bayern ila kafukuzwa kutokana na kutoleweana na mkurugenzi Oliver khanMbona Bayern kwenye ligi kashindwa na timu yenye wachezaji wazuri kuliko hata Chelsea?
Hawawez kukuelewa maana wanaangalia matokeo sio performanceIssue ya Bayern kwenye ligi sio ya siku moja wala ya pointi moja. Graph yake ya performance ilikuwa ina curve negatively. Kwenye ile ligi ya wakulima ilitakiwa Bayern at that pount awe 10+ pts deference but badala yake unapitwa na timu ya kawaida iliyopigwa na Chuck Noris. Kuhusu Uefa sio kipimio kizuri kwa sababu ni ligi fupi. Thats is!
Bayern kila mwaka yeye ndo bingwa German hata akifanya vibaya baadhi ya mechi lakini jua hana mpinzani kumbuka pia msimu uliopita kabeba hilo kombe akiwa kama kochaIssue ya Bayern kwenye ligi sio ya siku moja wala ya pointi moja. Graph yake ya performance ilikuwa ina curve negatively. Kwenye ile ligi ya wakulima ilitakiwa Bayern at that pount awe 10+ pts deference but badala yake unapitwa na timu ya kawaida iliyopigwa na Chuck Noris. Kuhusu Uefa sio kipimio kizuri kwa sababu ni ligi fupi. Thats is!
Hata Tuchel naye alifukuzwa PSG naye akaja chelsea na akabeba mataji..usifikiri kocha kufukuzwa ndyo hafaiHawawez kukuelewa maana wanaangalia matokeo sio performance
Ki performance alishafeli ,Bayern ilishaonesha matobo mengi
Ni sawa mtu kwasasa anakwambia manjesta yupo top 4, ila ukweli performance yao Ni mbovu ,mech nyingi wameshinda kimagumashi,
Ndicho walichoangalia baryen had kumtimua Julian
Wale jamaa pale baryen wamesema Performance yake ilikuwa mbovu ,shida sio kushinda ,watu wanaangalia kwa performance hii huko mbele itakuwaje
mbona ujauliza alifanya nn na barca ile spain ilkua ina wachezaj ila walikosa uzoefu2 umri wao mdogo awakutegemewa kufika pale walipofikaAlifanya nini na Spain?
kashindwaMbona Bayern kwenye ligi kashindwa na timu yenye wachezaji wazuri kuliko hata Chelsea?
sioni kushndwa kwake mana alikua nafas ya pili ameifikisha tm robo fainal uefa alihitaji gem ilokua inafuata arudi kileleni ila n kwasababu ya zile ups and down ndo zmefanya afukuzwe na pia jamaa waliona uyu tuchel atachukuliwa na kna tot wkaamua kumuwah mapemaKwahiyo mnataka conte amludishe lukakuKwani Potter si tulimchukua akiwa kazini. Tulilipa kama mil 20 kumtoa Brighton. Issue sio kocha asiye kazini wala aliyefukuzwa. Issue ni kocha mwenye uzoefu na timu kubwa na kubeba makombe
Enrique sawa
Conte sawa
Hata Mou arudi
Julian namuona bado anahitaji kukomaa japo
Christopher Vivell anampigia chapuo kweli kweli