Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
😂😂😂😂Tutamkumbuka sana Potter😁
😂😂😂😂Tutamkumbuka sana Potter😁
Tena?Todd baada tu ya kuingilia suala la usajili na ubabe wake wote huo haya ndio matunda yake
Chuma kimetua darajaniSuper Frankie Lampard🤣🤣
Kocha la Makombe
Lampard...mitano tena
Lampard mikumi kabisa bado ni kijana
Umezunguka halafu mwishoni unataja hazina zenu unamuweka havertz huyu jamaa lile goli lake la uefa linawatia upofu ila hana ukali huo wa kumtarajia alete makubwa. Tatizo ni mashabiki piaHawa wachezaji wanamuhitaji kocha sahihi. Akina Boehly wakikosea kusajili kocha wa msimu ujao, tujiandae tena kulia na kuanza kumfikiria kocha mwingine
- Tunamuhitaji kocha wa kuja kubadili mindset ya wachezaji
- Kocha mwenye uwezo wa kung'amua nani hafai ili auzwe
- Kocha mwenye kuweza kuwataka wachezaji wachezeje na wacheze kama kocha atakavyo - A demanding coach
- Kocha mwenye mamlaka juu ya wachezaji zaidi ya matajiri wa timu, tukimpata kocha Puppet kama Potter tumeisha
- Kocha mwenye uwezo wa kuwatumia kikamilifu akina Datro Fofana, Madueke, Felix, Havertz, Enzo, Mudryk, Mount nk hao wote ni hazina ya Chelsea na ni wachezaji wazuri ila ni kama watoto yatima wasie na baba
Bora hukuangalia, hata nami nilijua kuwa Lampard ni overrated Coach ndiyomaana nilikuwa zangu kijiweni nikisikiliza mziki na kucheza drafti tuNiamini mimi Yule Bruno Saltor tuliyemtoa angeweza kuperform na kutupa matokeo kuliko hii takataka Lampard.
Siangalii match ila najua kinachoendelea huko ni upuuzi tu.

Havertz, Mount, Gallagher, Ziyech, Pulisic, Cucurela, Chek wote ni daraja C kiuwezo hawafai hata kuwepo kwenye level za academic players.Huyu Havertz sijui makocha wanaona nini kwake panga pangua dogo kila mechi anaanza
Kudadadeki JF hii kiboko sana daaahLampard analipwa mshahara mzuri ameshaanza kunenepaView attachment 2581173

