Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lampard analipwa mshahara mzuri ameshaanza kunenepa
20230408_180704.jpg
 
Goli lile ni la cucu na Kepa
Ndo maana nikasema Kepa hana bahati na Lampard
Mendy arudi tu no. 1 role. Kwa mfumo wa Lampard Kepa atafungwa sana
 
'From bad to worse..' mpaka mtakapo achana na makocha wa uingereza wale ni sawa sawa na makocha wa taifa star, acheni uzalendo wa kijinga tunarudi kule kule FL hana uwezo wakuinua hivyo vipaji vya hao watoto wa Chelsea....manusura ashushe Everton daraja unakuja kumpa team complicated zaidi ya Everton, huo ni ujinga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom