Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hawa wachezaji wanamuhitaji kocha sahihi. Akina Boehly wakikosea kusajili kocha wa msimu ujao, tujiandae tena kulia na kuanza kumfikiria kocha mwingine
  1. Tunamuhitaji kocha wa kuja kubadili mindset ya wachezaji
  2. Kocha mwenye uwezo wa kung'amua nani hafai ili auzwe
  3. Kocha mwenye kuweza kuwataka wachezaji wachezeje na wacheze kama kocha atakavyo - A demanding coach
  4. Kocha mwenye mamlaka juu ya wachezaji zaidi ya matajiri wa timu, tukimpata kocha Puppet kama Potter tumeisha
  5. Kocha mwenye uwezo wa kuwatumia kikamilifu akina Datro Fofana, Madueke, Felix, Havertz, Enzo, Mudryk, Mount nk hao wote ni hazina ya Chelsea na ni wachezaji wazuri ila ni kama watoto yatima wasie na baba

Cheltako a.K.a Chelkenge [emoji23][emoji23]
 
kocha wa namna hyo hayupo

Dunia sio fair kabisa kocha anayeongoza mechi yuko active anatoa maelekezo kocha kiazi yupo haoni tatizo wala cha kuwaelekeza wachezaji.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilipomuona gallegher na kukubroiller mbele havertz nikaona niendelee na shughli nyingine chelsea inipumzishe kwa sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Niamini mimi Yule Bruno Saltor tuliyemtoa angeweza kuperform na kutupa matokeo kuliko hii takataka Lampard.

Siangalii match ila najua kinachoendelea huko ni upuuzi tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom