Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Oya lembu hebu leo jitahidini mtupigie hizo punda, ila kuweni makini huaga zinaroga sana zinapokuaga nyumbani kwao, kimasihara masihara nyumbu tulichezea goli 7 kama utani.
Rashford alikua analalamika kila akiingia ndani ya box goli lao anakua halioni, anamuona kipa wao tu amesimama kwenye kile kibendera cha kwenye kona.
Ombi lako limepokelewa
 
Ni mchezaji mwenye potential kubwa ila toka amekuja chelsea amekuwa akichezeshwa out of his position ...ukitaka kumuangalia vizuri cheki ile game yake ya kwanza dhidi ya liverpool
Akicheza nafasi yake ndiyo unakua unamuona Daniel James.
Pace, cut in and score skills
 
Hivi yule dogo ,Daniel James wa manyumbu walimpeleka wapi ? ,Yule dogo ni nilikuwa naona anakipaji na potential Sana sijui nini kilichomkumba
Walimuuza Leeds ili jezi yake avae Cavani halafu ya Cavani agewe Ronaldo.

Sasa hivi yupo Fulham kwa mkopo
 
Hansi Flick, De Zerbi,
Kwa Demand ya chelsea sioni De Zerbi akipata Hiyo nafasi although naelewa ni kocha mzuri but at that stage tulipo tunahitaji kocha mzoefu wa team kubwa na mwenye ushindani ila kwa Hansi flick ninaweza kukubaliana na wewe
 
Lineup
Kepa
James fofana koulibaly cucurela
Kante kovacic enzo
Felix havertz chilwell

Jogoo tunamnywa supu


Salah hayupo kwenye xi
 
Ila Chelsea na Liverpool huwa tunakamiana sana ,na game huwa nzuri sana ,sema msimu huu tuko wote wabovu sana so , hata game ni kubutua butua ila game za mwaka jana zile fainali mbili FA na carabao zilikuwa game tough Sana ,na mbungi ilipigwa kinoma noma , sijui leo itakuwaje ,vipofu wanakutana tena
Ni miongoni mwa michezo Bora kabisa kuwahi kutokea

Ila kwa sababu mlimuona Tuchelewe wa nini basi leo mapema tu tunawalaza na viatu
Mtachagua mzike au msafirishe
 
Umaliziaji bado Kovacic ,Felix , Havertz wamekosa chances za wazi kabisa ,tungekuwa tunaongoza 3 sasa hivi
 
Chelsea ni team ya mashoga aisee😡😡😡 machezaji yamelegea kama vile sio riziki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom