Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Players signed since Potter's appointment​

  • Benoit Badiashile - Monaco, £35m
  • Andrey Santos - Vasco da Gama, £18m
  • David Datro Fofana - Molde, £10m
  • Joao Felix - Atletico Madrid, loan (£9.7m fee)
  • Mykhailo Mudryk - Shakhtar Donetsk, £88.5m
  • Noni Madueke - PSV, £29m
  • Malo Gusto - Lyon, £26.3m
  • Enzo Fernandez - Benfica, £106.8m
  • Jimmy-Jay Morgan - Southampton, undisclosed
 
D
Shevchenko, who played for Chelsea between 2006 and 2009, said the forward is 'in good hands'
Huyu jamaa naye alikuwa flop mkubwa alipokuja Chelsea. Anamtetea Mudryk kuwa ni usajili kwa ajili ya baadaye, apewe muda tu. Yuko mikononi salama darajani
69386001-0-image-m-28_1680423889541.jpg
Dah hii game naikumbuka ilikuwa dhidi ya valencia iliyokuwa ya moto ndani yake kuna David villa
 
Haibadilishi ukweli kwamba managers are hired to be fired
Hii concept hata makocha wenyewe wanajua na ndio maana mikataba inawapa protection kama consolation plus psychological preparedness ya kutosha sio yeye tu bali na familia yake yote
Oya lembu hebu leo jitahidini mtupigie hizo punda, ila kuweni makini huaga zinaroga sana zinapokuaga nyumbani kwao, kimasihara masihara nyumbu tulichezea goli 7 kama utani.
Rashford alikua analalamika kila akiingia ndani ya box goli lao anakua halioni, anamuona kipa wao tu amesimama kwenye kile kibendera cha kwenye kona.
 
Eddie Howe mwaka huu kabahatisha tu. Si alikuwa kocha muda mrefu alifanya nini?
Aliipandisha bournemouth madaraja matatu ndani ya misimu saba pia aliibakisha ligi kuu kwa misimu mitano mfululizo...hata pep anamhusudu sana jamaa , mwaka huu anaipeleka champions league newcastle kwa mara ya kwanza toka kipindi cha kina faustino aspirilla na Allan shearer
 
Kikosi cha leo ni vema kiwe hivi

Formation 4-3-3
Kepa
James/koulibally /badieshile/ chilwell
Kante/ enzo/ Kovacic
Felix/Havertz/Mudryk
 
Ila Chelsea na Liverpool huwa tunakamiana sana ,na game huwa nzuri sana ,sema msimu huu tuko wote wabovu sana so , hata game ni kubutua butua ila game za mwaka jana zile fainali mbili FA na carabao zilikuwa game tough Sana ,na mbungi ilipigwa kinoma noma , sijui leo itakuwaje ,vipofu wanakutana tena
 
Mudryk is just a Ukrainian Daniel James at this point
Hivi yule dogo ,Daniel James wa manyumbu walimpeleka wapi ? ,Yule dogo ni nilikuwa naona anakipaji na potential Sana sijui nini kilichomkumba
 
Eddie Howe mwaka huu kabahatisha tu. Si alikuwa kocha muda mrefu alifanya nini?
Hajabahatisha ,Eddie Howe kitambo tu ana uwezo wa Kati, Wakati Arsene Wenger anaondoka Arsenal alishauri awe mrithi wake ,

Huyo Eddie Howe sio mwepesi kihivo ,japo sio elite kivile ila ana room ya kujiboresha

Kwenye Tactical Voice ya makocha , alionesha jinsi alivyomfunga Conte 3-0 ,Conte akiwa kocha wa Chelsea

Msimu wa kwanza Conte alikuja na 3-4-3 Chelsea akawasumbua makocha wengi akabeba EPL,msimu wa pili walimbutua ,Ndipo Eddie Howe anaelezea jinsi alivyomfunga 3-0
 
Aliipandisha bournemouth madaraja matatu ndani ya misimu saba pia aliibakisha ligi kuu kwa misimu mitano mfululizo...hata pep anamhusudu sana jamaa , mwaka huu anaipeleka champions league newcastle kwa mara ya kwanza toka kipindi cha kina faustino aspirilla na Allan shearer
Eddie Howe Ni kocha kijana mwenye mbinu Kali ,

Makocha wengi wanamkubali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom