Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwani Potter si tulimchukua akiwa kazini. Tulilipa kama mil 20 kumtoa Brighton. Issue sio kocha asiye kazini wala aliyefukuzwa. Issue ni kocha mwenye uzoefu na timu kubwa na kubeba makombe
Enrique sawa
Conte sawa
Hata Mou arudi
Julian namuona bado anahitaji kukomaa japo
Christopher Vivell anampigia chapuo kweli kweli
Si tulikubaliana kuwa atajenga CV mbele kwa mbele
Imekuwaje tena jamani?
 
naomba kuuliza tunayecheza naye mechi inayofuata ni nani??? ajihesabiiee kuwa amekufa.

wale wakubet nenda kabsa kaweke nusu ya mali zako mpe chelsea. HATUTAKUANGUSHA.
Eti eeh?
Subiri uone tunavyowachinjia mbali

Timu limepoteana mazima hili
 
Tuchel bado ana app ya chelsea

Screenshot_20230403-152517.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom