Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Umchambie Koo aliyefutwa kitengo.. hatakiwi kabisa hata kuwepo sayari ya tatu, anatakiwa ahasiwe sasa halafu apigwe miti
Yan sikua najua kqma Potter katimuliwa hapa nimeweka Skysports ndio habari ya kwamza nakutana nayo. Jamani sio vizuri kabisa habari mzuri kama hizi tunaambiana aseeh.

Ngoja nifungue ka Hansons Choice nifurahi sasa
 
Kipi alichokifanya Brighton??? Mpaka tuseme alikuwa vizuri, zaidi ya kucheza vizuri tu.

Angalia sasa Brighton wako semi final FA Cup kitu ambacho Potter alishindwa. DE ZERBI kawaimprove Brighton kuliko hata wakat wa Potter.

Hakuna maajabu potter aliyoyafanya Brighton zaidi ya kucheza vizuri tu ila matokeo anayoyapata sasa ndio yale yale alikuwa anayapata Brighton
Potter ni type ya akina David Moyes akati akiwa everton na sasa westham ,midtable coaches , hawawezi mikiki na pressure za timu kubwa ,
 
Yah nakumbuka wakuu, ila kuchukua managers waliopo nje ya kazi hayo mambo yanafanywa na akina Southampton hukooooooooo, timu kubwa ni zinakwenda kumchukua kocha mwenye kazi.

Nafahamu hata Zidane hana kazi na ni kocha mzuri
Kwani Potter si tulimchukua akiwa kazini. Tulilipa kama mil 20 kumtoa Brighton. Issue sio kocha asiye kazini wala aliyefukuzwa. Issue ni kocha mwenye uzoefu na timu kubwa na kubeba makombe
Enrique sawa
Conte sawa
Hata Mou arudi
Julian namuona bado anahitaji kukomaa japo
Christopher Vivell anampigia chapuo kweli kweli
 
Huyu bwana mdogo Julian Nagelsman hawajapishana sana kimbinu na Tuchel staili za ufundishaji zinafanana na Vivel anamjua huyu bwana mdogo cos ashafanya naye kazi ndo maana anamtaka
 
Huyu bwana mdogo Julian Nagelsman hawajapishana sana kimbinu na Tuchel staili za ufundishaji zinafanana na Vivel anamjua huyu bwana mdogo cos ashafanya naye kazi ndo maana anamtaka
Mbona Bayern kwenye ligi kashindwa na timu yenye wachezaji wazuri kuliko hata Chelsea?
 
Nagelsman ni midtable coach kama alivyo huyo chuck norris akija chelsea tutayaona yale yale tu yaliyotokea kwa bayern... Chelsea tunahitaji kocha wa kihispania kwasasa.

Wachezaji wazuri tunao ila kocha hatuna kila siku anawapanga wachezaji nje ya nafasi zao...game ya juzi hatukuwa na namba 9... Mabeki wa villa walikuwa wame relax tu...sielewi kwann hawachezeshi kina ziyech na Auba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom