Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jibu baada ya kuelewa pointi yangu

Wazo langu la msingi sio kafanya vizuri bali Brighton ilifanya vizuri ilifika hado top of the table huko nyuma hawakuwahi kufanya hivyo
Pia nikaongeza mfano wa Lampard Chelsea ilimaliza top 4
Wazo langu kama hata kama kosa ni la kocha wachezaji na ubora wao wamechangia nini hadi timu inafika nafasi ya 11
Kama ni wachezaji bora si wangefunika madhaifu ya kocha?

Kukaa kileleni only kwa game chache halaf mwisho wa msim ukamaliza wa 10 hiyo ni achievement?

Wakifunika madhaif inamaana bado kocha ataendelea kuwepo, huwez kila game ufuniks madhaif, kuna game zinahitaj mbinu za kocha kumkabili mpinzani wako,

kocha lazima uwape wachezaj wako morale na hali ya kuhakikisha mnaimprove ila kwa potter yeye kila siku the lads gave everything mara stats zilikuwa upande wetu blah blah nyingi
 
Wamrudishe Conte achana na huyu alishaonyesha Bayern kuwa hawezi mbio ndefu
Kwa maoni yangu Conte pekee ndie atakayeturudisha kwenye mstari, Spurs alishindwa kwa sababu ya ufinyu wa mshiko

IMG_7575.jpg

Tayari amesha anza kupokea simu, hakuna namna…
 
Yn ht huyo Juliana Sina imani nae, timu kubwa haiwezi kusubiri au kuchukua managers waliokosa kazi au waliofukuzwa na kuwaleta kwenye timu kubwa kama Chelsea.
Pesa si ipo.? Tuchel arudi mzigoni
 
Yn ht huyo Juliana Sina imani nae, timu kubwa haiwezi kusubiri au kuchukua managers waliokosa kazi au waliofukuzwa na kuwaleta kwenye timu kubwa kama Chelsea.
Pesa si ipo.? Tuchel arudi mzigoni
Hata Tuchel alifukuzwa, ndio tukamuajiri,Mourinho 2nd spell,Benitez, hawa wote walikuwa washafukuzwa na team zao ndio tukawaajiri

Hata guardiola baada ya kuondoka bayern alikaa mapumzikon kwanza kabla ya kwenda city.
 
Kocha mpya nae akija mambo yatakuwa yaleyale kwa msimu huu mana utasikia kuzoea wachezaji, kujenga timu n.k kwa ufupi msimu huu itapendeza tukiwa nafasi wa 10 kushuka chini ili huyo kocha atleast apate muda wa kujenga timu bila kuwa na mechi nyingi. Naamini Real Madrid atatufunga nje ndani ili tutoke kwenye vifungo vyote na tuanze upya.
 
uyo tuchel mwenyew kipind tunamchukua alikua katimuliwa psg
Yah nakumbuka wakuu, ila kuchukua managers waliopo nje ya kazi hayo mambo yanafanywa na akina Southampton hukooooooooo, timu kubwa ni zinakwenda kumchukua kocha mwenye kazi.

Nafahamu hata Zidane hana kazi na ni kocha mzuri
 
Yn ht huyo Juliana Sina imani nae, timu kubwa haiwezi kusubiri au kuchukua managers waliokosa kazi au waliofukuzwa na kuwaleta kwenye timu kubwa kama Chelsea.
Pesa si ipo.? Tuchel arudi mzigoni
Wewe nae tuchel kaanza kaz juz bayern sasa unamchua vip yaan mbona mambo madogo kam haya hayahitaji uwe na uwelewa mkubwa?
 
Kocha mpya nae akija mambo yatakuwa yaleyale kwa msimu huu mana utasikia kuzoea wachezaji, kujenga timu n.k kwa ufupi msimu huu itapendeza tukiwa nafasi wa 10 kushuka chini ili huyo kocha atleast apate muda wa kujenga timu bila kuwa na mechi nyingi. Naamini Real Madrid atatufunga nje ndani ili tutoke kwenye vifungo vyote na tuanze upya.

Inabidi tucheze conference tuichukue kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom