Ukimtoa Jose, hakuna kocha mwingine aliyekuwa tayar kupigania hii team.
Mlikojolewa viwili jana mchana kweupe kenge maji nyie,eti Title Contender,labda Contender wa kuzibuliwa mitaroChelsea fans after sacking of Porter [emoji23][emoji23]
Hapo nawaona lembu OllaChuga Oc View attachment 2575319
Halafu anakula £60M kwa kuvunjiwa mkatabaGraham Potter kwa sasa ndio manager ghali zaidiView attachment 2352585
Bado Yule dalali wa Ajax hapo MANCHESTER UnitedSisi kama wafuasi wake kindakindaki hatutakubali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona chalii yangu OllaChuga Oc na Ostaz lembu wanakunywa mabao tuliyowachapa nyie nyumbu[emoji23]Chelsea fans after sacking of Porter [emoji23][emoji23]
Hapo nawaona lembu OllaChuga Oc View attachment 2575319
Timu lipo maporomokoni namba 11 hukoMmejiandaaje huko Ana fi...
Karudie tena kusoma source zake anapata lessHalafu anakula £60M kwa kuvunjiwa mkataba
Arteta hakua ameprove chochote kabla hajaja ArsenalTuko hapa tulipo kwa sababu ya vitu viwili
i)Maamuzi ya Boehly mwanzon mwa msim. Kutaka kufanya mambo mengi kwa mkupuo, niliwah sema hapa why unafukuza kocha huku huna Mkurugenzi wa ufundi or wamichezo. Boehly maamuzi yake ya mwanzon ndionyametuathiri kwa namna moja au nyingine.
Okay sawa ukamfukuza Tuchel badala ya kuhire kocha mwenye uwezo kama wa tuchel o zaidi akaleta kocha wa level za chini huku akiwa hajawah kuprove chochote katika soka la uk.
ii)Uwezo wa potter na mbinu zake, 6 months na hakuna maendeleo yoyote, kufumbia macho ujinga na kutupa press conference utasema team ya mid table, tucheze vibaya yeye hatak kubeba mzigo ni the lads gave everything, kushindwa kuelewa somo la short term plan, hata kama ni meneja wa long term ila inabidi ushinde hizi short term kuprove kam wewe ni right man kwa ile kazi na si excuse za Arteta,Klop,Pep kuwa walipewa mda, je huo mda waliopewa unahisi hawakuonesha kitu ndani ya mda mfupi?
Yule mzenj[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Haka ka timu wachezaji na washabiki wake kama maafande vile.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Arteta ndani ya miezi 8 kama manager wa Arsenal, alikuwa ashachukua FA na Community ShieldArteta hakua ameprove chochote kabla hajaja Arsenal
Potter alistahili muda wajameni