lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,489
Nimeweka kumbukumbuMkiwafunga nidai chochote.
Nimeweka kumbukumbuMkiwafunga nidai chochote.
Hata wewe si unahusiana na mpira
Na mimi niko pale nasubiri tushinde nikudai ahadi yangu "KITU CHOCHOTE"Mkiwafunga nidai chochote.
Nitakuwepo kuhakikisha chochote kinapatikana. Madrid lazima afeNa mimi niko pale nasubiri tushinde nikudai ahadi yangu "KITU CHOCHOTE"
Na wanachelsea wenzangu mtakuwa mashahidi nitakapodai ahadi yangu
Nyie muwafunge Madrid?Na mimi niko pale nasubiri tushinde nikudai ahadi yangu "KITU CHOCHOTE"
Na wanachelsea wenzangu mtakuwa mashahidi nitakapodai ahadi yangu
Mkuu hivi na wewe una matumaini kabisa ya kumshinda Madrid?Nitakuwepo kuhakikisha chochote kinapatikana. Madrid lazima afe
Kijana umetumwa niniPotter mitano tena
Fupa lililokushinda hilo, Kaa kwa kutulia.Nilivyoona Chelsii wamewekwa na Madrid nikasikitika sana![]()
🤣🤣🤣🤣 Ila sterling umemuonea mbona yupo vizuri tu kama kukosa magoal mbona hata hao felix nae anakosa Sana lakini tunamuusuduPulisic - Mtumishi hewa
Sterling - PAPARAZI
Cheek - Mid table player
Gallagher - Mpira vurugu
Mount - Kinyonga
Potter - MKOSI
Potter mkosiPulisic - Mtumishi hewa
Sterling - PAPARAZI
Cheek - Mid table player
Gallagher - Mpira vurugu
Mount - Kinyonga
Potter - MKOSI








Subiri utaonaFupa lililokushinda hilo, Kaa kwa kutulia.
Naona unataka kuwapa Wana Chelsea wanzangu CHOCHOTE ila mimi nimeangalia kwenye kamusi sijaona kitu chochote ni nini?Nyie muwafunge Madrid?
Akiyanani![]()
Potter mitano Tena ...Tuna imani na potter

Na Lukaku aende wapi
