Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kaeleza vizuri namba 10 ni yule mwenye uwezo wa kuchezesha team kuunganisha safu ya kiungo ya Kati na eneo la ushambuliaji, kuwa na jicho la kupiga pass ya mwisho yenye uwezo wa kufungua team pinzani ukiangalia hizi sifa Mount hana, mount ni kama feisali toto kiuchezaji na ukizingatia pale chelsea kashapoteza namba nafasi yake anacheza Jao felix na hata msimu ujao nafasi yake itazidi kuwa ndogo zaidi kwasababu kutakuna na Nkuku, Mudryk, Madueke, Kai havert, chelsea watamsajili jumla felix alafu kutakuwa na sterling pamoja na striker watakaosajili na kwa mfumo wa Potter wa 3-4-3 mbele wanahitajika wachezaji watatu tu je nafasi ya Mount unaona itakuwepo?
Cash Money Forever Southern Highland
Wachezaji walio wengi wa mbele huwa wanazimudu nafasi zote za mbele isipokuwa striker
  1. Mount anaweza cheza no. 10 na winga zote
  2. Mudryk anaweza cheza na. 10 na winga zote
  3. Nkunku anaweza cheza namba zote za mbele, 10, winga false no. 9
  4. Felix anaweza anaweza cheza namba zote za mbele, 10, winga na false na. 9
  5. Sterling ni winga zote mbili tu including wide
  6. Havertz anaweza cheza zote, 10, winga na false na. 9
  7. Ziyech na Madueke ni winga wa kulia tu
  8. Pulisic anaweza cheza nafasi zote, 10, winga na false na. 9
Kwa maoni yangu nafikri hao wawili wa mwisho wauzwe
Mount akidinda kwenye mshahara auzwe ila sio kwa Liverpool,
Tukiwa na kocha mzuri hizi mashine zinazobaki zinafaa kuleta ubingwa tumsajili tu striker ikibidi ila sio lazima. Tatizo letu kwa sasa kubwa ni la kocha, sio wachezaji
 
Hata Hazard miaka ile ya mwanzoni Chelsea MOU alikuwa mkali dhidi yake kwa sababu alikuwa mzembe sana. Tumeona aliyofanya Hazard hadi anahamia RM. Sio tu Mount, kuna mchezjai kama Galagher sasa anaonekana wa hovyo kwa sababu ni kama Kondoo bila mchungaji
Well said brother. Makocha wana mchango mkubwa kwa wachezaji katika kukuza vipaji vyao. Kama kina Salah na KDB wangebaki chini yaMou pengine wasingekua na potential hii waliyonayo sasa. Angalia wachezaji chini ya Pep wanavyo perform muangalie na Sterling chini ya Potter.

Huyu kocha sio mkali kwa wachezaji wake
 
Sisi sio Liverkuku, siku hiyo utajua, labda itukute tuna majeruhi. Niji ni oficial diet ya Real Madrid kwa miaka zaidi ya 10
Na huyuhuyu Potter au?🤣🤣🤣🤣
Akiyanani
Dunia Ina mambo hii😂😂😂😂😂😂
 
Attachments

  • JamiiForums795278747.jpeg
    JamiiForums795278747.jpeg
    54 KB · Views: 7
Mlishatuaminisha kuwa tusingebounce kwa Dortmund, tumewalamba 2-0 chini ya huyu huyu mbeba mizigo, na kwa huyu huyu tutambonda Real Madrid
Everton anakusumbua , Madrid utamuwezea wapi??
Timu imechoka hata kocha hana idea na anachofanya 🤣
Ukiwafunga Madrid niite kaka Rashid Mpemba
Nipo pale 👉nimekaa😂😂
 
Umesema Mount pale Chelsea keshapoteza namba na nafasi yake kachukua Joao Felix ndio nikakwambiaje Felix hachezi kiungo namba 8 ya Mount
Ila Mount mkuu anachezaga mara chache sana hiyo na. 8. hiyo 8 ni ya akina Enzo, Kante, Kovacic and recently naona wanampa Galagher. Mount anakuwa mzuri akicheza mbele kabisa. Halafu huwa mimi sipendi kutaja nafasi ya mchezaji kwa namba kwa sababu zinabadilika kulingana na formation na mfumo wa kocha. Kocha ndiye anayegawa majukumu ya uchezaji ambayo ndio inaweka 8 achezeje na hubadilika badilika. Na. 8 ni CM wa kulia kwa baadhi ya formation na formation zingine hazina kabisa. Basic formation ya 4-3-3 mara nyingi ndio inakuwa rahisi kuelezea hizi namba, ila ukiswitch to ukaenda formation nyingine inakuwa ngumu kuelezea

mfano wa no. 8 na 10 kwenye 4-3-3 na 4-4-2
433Attack-minded-midfield.jpg

Kocha anaweza akaamua na. 8 akawa DM na ikafanania kama hii formation ya 4-3-3 ya dfensive minded kama ya akina MOU. Hii inakuwa na DM wawili ambao ni 6 na 8
433Defensive-midfield.jpg

442Flat-midfield.jpg
 
Umesema Mount pale Chelsea keshapoteza namba na nafasi yake kachukua Joao Felix ndio nikakwambiaje Felix hachezi kiungo namba 8 ya Mount
Mount mechi nyingi anacheza number 10 sio 8 namba 8 chelsea wanacheza Kovacic na Kante alafu 6 anakaa Jorginho
 
Ila Mount mkuu anachezaga mara chache sana hiyo na. 8. hiyo 8 ni ya akina Enzo, Kante, Kovacic and recently naona wanampa Galagher. Mount anakuwa mzuri akicheza mbele kabisa. Halafu huwa mimi sipendi kutaja nafasi ya mchezaji kwa namba kwa sababu zinabadilika kulingana na formation na mfumo wa kocha. Kocha ndiye anayegawa majukumu ya uchezaji ambayo ndio inaweka 8 achezeje na hubadilika badilika. Na. 8 ni CM wa kulia kwa baadhi ya formation na formation zingine hazina kabisa. Basic formation ya 4-3-3 mara nyingi ndio inakuwa rahisi kuelezea hizi namba, ila ukiswitch to ukaenda formation nyingine inakuwa ngumu kuelezea

mfano wa no. 8 na 10 kwenye 4-3-3 na 4-4-2
433Attack-minded-midfield.jpg

Kocha anaweza akaamua na. 8 akawa DM na ikafanania kama hii formation ya 4-3-3 ya dfensive minded kama ya akina MOU. Hii inakuwa na DM wawili ambao ni 6 na 8
433Defensive-midfield.jpg

442Flat-midfield.jpg
Bora ulivyonisaidia kumwelezea jamaa
 
Mount mechi nyingi anacheza number 10 sio 8 namba 8 chelsea wanacheza Kovacic na Kante alafu 6 anakaa Jorginho
Pamoja na hivyo Felix hawezi chukua namba ya Mount kwa sababu Felix naturally ni winger na mara chache anaweza cheza false 9. Ni mara chache amecheza namba 10
 
Wangapi humu tunaangalia El Classico? Yan Madrid anapelekewa moto balaa game ni Half Time 1-1.

Pamoja na kuelemewa ila bado ni hatari sana wanaposhambulia hasa huu upannde wa Vinicius
 
Wangapi humu tunaangalia El Classico? Yan Madrid anapelekewa moto balaa game ni Half Time 1-1.

Pamoja na kuelemewa ila bado ni hatari sana wanaposhambulia hasa huu upannde wa Vinicius
Hii laliga siielewi kabsa ivi moto waliopelekewa Barca na Man U leo wanawatesa Madrid kama ngoma
 
Pamoja na hivyo Felix hawezi chukua namba ya Mount kwa sababu Felix naturally ni winger na mara chache anaweza cheza false 9. Ni mara chache amecheza namba 10
Mkuu ushindani ni mkubwa kule mbele kuliko unavyofikiri, akibaki Mount msimu ujao itakuwa terible kwani Nkunku akiongezeka sijui itakuwaje
Kwanza Pulisic hata akibaki anaweza kosa namba kabisa ya kukaa benchi
Mount ataface competition kubwa na akina Nkunku, Felix, Mudryk, Sterling, Madueke, Kai Havertz bila kuwasahau pulisic na Galagher
Uzuri wa Mount anaweza cheza kuanzia CM , AM, na winga ila nafasi yake nzuri ni winga ambazo zina ushindani mkubwa
 
Back 3 ya Koulibally inamfanya Badiashile aonekane beki mbovu
Bora tu arudi Silva halafu naona summer usajili wa CB ni wa muhimu tena sana
Badiashile anaonekana comfortable akiwepo Silva
Fofana ni injury prone so kuwa na CB wanne wa kuanza ni jambo jema, Kou sio wa kumtegemea
Hata kama Colwill atarudi bado tutamuhitaji mmoja
JHuyu mchizi wetu Boehly apigane tu aje Gvardiol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom