Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Kila la kheri kocha wa mpira Tuchel
Kwahiy mlitaka TT aendelee kuwa joblessTumeyakanyaga, hii ni habari nyingine mbaya zaidi kuipata nikiwa kama shabiki wa Chelsea.
Hapana, ila nilitegemea atarudi baada ya muda mfupiKwahiy mlitaka TT aendelee kuwa jobless
Tukipita kwa madrid Tuchel atatufanya kitu hatujawahi ona.Haya Tuchel kashapewa kazi Bayern huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ww jamaa bhanaTuna imani na potter
Tuna mpenda potter
Potter is cooking
Potter mitano tena anatosha
Kwan ulikuwa unatarajia atarudi tena?[emoji28] Inaonekana alikuwa haendani na wamiliki wapyaHatimaye TT tumemkosa kabisa Wana The Blues daaah... tuendelee kupambana na famba letu Chuck Norris [emoji849][emoji30]View attachment 2563525View attachment 2563526View attachment 2563527
Duuuh....! Darajani tumeshakuwa na kirusi cha kupata Majeruhi wa muda wote, kimavi cha Pulisic kimehamia kwa Beki wetu Mahiri Reece James [emoji24]Taarifa zinazotrend REECE JAMES ameumia tena [emoji25][emoji25]
James mwisho atakua kama dembeleDuuuh....! Darajani tumeshakuwa na kirusi cha kupata Majeruhi wa muda wote, kimavu cha Pulisic kimehamia kwa Beki wetu Mahiri Reece James [emoji24]
Mkohoti umepotea Sana aiseeBora international break ingekua inafanywa kwa mwezi mara mbili, mana wikii hii nimeanza kunenepa.