Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimesema na nitarudia kusema Potter hatufai hakuna kocha pale. Haeleweki anataka nini kuanza anapotoa line up mpaka game ikiwa inaendelea haoneshi hasira mchezaji anapofanya makosa yupoyupo tu kama baloon na mashavu yake.

Mini siku hizi haa sishangai kwa sababu jana ilikua chance nzuri kutoka nafasi ya 10 kupanda mpaka 9. Fulham huko waliko watakua wanarurahi sana
Conte jana kawalipukia wachezaji kwelikweli na kuwaita wabinafsi hawachezi kama timu. Hasira aliyokuwa nayo nilidhani hapo hapo kwenye press conference atafukuzwa. Kwa upande wetu hata timu ishuke daraja. Kocha utasikia The lads gave it everything. The boys played very well except that the results were not good
 
Kwanza mimi nilivyoona yale maneno ya Conte nikajua keshafukuzwa ndio maana kaongea vile kumbe bana kashindwa kuvumilia kaamua liwalo na liwe
 
Potter linauzi sana

Kila mechi anafanya rotation za kipumbavu sana. Lini atapata 1st eleven ya ushindi?

Pulisic ametoka majeruhi unamuanzisha ya nini? Ili hali una Mudryk ambaye yuko fit, ameanza kuozea EPL na mechi iliyopita ametoa assists ya goli.

Unamtoa Pulisic unaingiza Gallanger mpira vurugu then cheek, Cholobah Dah.

Pulisic out = Mudyk in

Jao out = Madueke In (Kai arudi katikati false 9).

Badilisha mfumo nenda 4-3-3

Mudyk --- Kai -- Madueke

Kovacic -- Enzo -- Kante

Everton angepelekewa moto tungemfunga hata goli 4.
Punguza hasira brother

Potter is here to stay

Mitano tena
20230226_190222.jpg
 
Mimi huwa nawambia hapa tusije pumbazwa na ushindi tunao pata, Potter ni senge tu hafai kuwa kocha wetu. Kinacho umiza zaidi huyu fala hajifunzi kupitia makosa yake sub anazo fanya ndio hizo kila siku anafanya. Huyo mbwa anajua kukera sana wale walio mtishia maisha sijui wanasubiri nini kummaliza. Sijawahi ona kocha mbugila kama hilo choko, kiukweli nimeumia sana kupoteza alama 3 leo.
Kashakuwa senge tena🤣🤣🤣🤣
 
Dah ukiongea hivo nakumbuka goal la kwanza match dhidi ya porto msimu tuliobeba uefa.

Au goal la kwanza msimu uliopita second leg dhidi ya madrid.
Sasa anatokea mtu anasema Mount ni average kweli? Nasi hayo magoli tu kile kiwango kilichangiwa na kocha Tuchel yule jamaa anajua bhana basi tu walishindwa kuelewana na Todd
 
Kile kiwango hakiwezi kurudi tena, na wala hakikuwa kiwango kikubwa kiivyo bali tulikuwa na kikosi kibovu cha wachezaji wengi wavivu.

Zile Jitihada kidogo za kujituma za Mount akaonekana bonge la mchezaji.

Mount hajafika hata nusu ya kile kiwango cha Dele Alli akiwa kwenye ubora wake.
Dele Ali alipewa muda na alikua na kocha mzuri sasa unategemea kumuona Potter akipandisha kiwango cha Mount? Haya yule Mudryk sio wa kukaa bench lakini kwa Potter kenge manyoyaa anampiga bench.

Mount kile kiwango kilichangiwa na kocha alikua mkali, ukilala mechi moja inatofuata huchezi unategemea nini?
 
Inaweza isirudi ila kwa umri wake kashawapita Lampard na Gerad wa Liverpool enzi za umri huo
Mchezaji kama Mount akiwa chini ya Kocha mzuri atakuwa mchezaji mkubwa sana
BAHATI MBAYA CHELSEA HAINA HAO MAKOCHA WA KUWAINUA VIWANGO WACHEZAJI
 
Dele Ali alipewa muda na alikua na kocha mzuri sasa unategemea kumuona Potter akipandisha kiwango cha Mount? Haya yule Mudryk sio wa kukaa bench lakini kwa Potter kenge manyoyaa anampiga bench.

Mount kile kiwango kilichangiwa na kocha alikua mkali, ukilala mechi moja inatofuata huchezi unategemea nini?
Hata Hazard miaka ile ya mwanzoni Chelsea MOU alikuwa mkali dhidi yake kwa sababu alikuwa mzembe sana. Tumeona aliyofanya Hazard hadi anahamia RM. Sio tu Mount, kuna mchezjai kama Galagher sasa anaonekana wa hovyo kwa sababu ni kama Kondoo bila mchungaji
 
Mimi huwa nawambia hapa tusije pumbazwa na ushindi tunao pata, Potter ni senge tu hafai kuwa kocha wetu. Kinacho umiza zaidi huyu fala hajifunzi kupitia makosa yake sub anazo fanya ndio hizo kila siku anafanya. Huyo mbwa anajua kukera sana wale walio mtishia maisha sijui wanasubiri nini kummaliza. Sijawahi ona kocha mbugila kama hilo choko, kiukweli nimeumia sana kupoteza alama 3 leo.
Tuna Imani naye

Mi tena kwa Potter
Potter mbele kwa mbele
 
Tatizo ambalo lipo mabosi wanamkingia kifua nashindwa kuelewa wanaona nini kwa huyu kocha kilaza yani kuna mda mtu unaumia kuona kila siku makosa ni yaleyale halafu abadiliki

Ule ushindi wa mechi 3 ulitupumbaza sana lakini tulikuwa tunajua kabisa hatuwezi kufika popote na huyu kocha
Tulishakubaliana anajenga CV hapahapa darajani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom