Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Screenshot_20230321-210926~2.png
Olexandre Zinchenko with an Arsenal fan
 
THE BLUES tangu aondoke Roman tumekuwa kituko sana. Roman alikuwa mafia, alimaster kila eneo.

Toddy anaenda kunyang'anya wachezaji wa watu huko sokoni halafu kwenye eneo la kocha anafanya upuuzi tuu.
Tajiri asiyekuwa na uelewa na maswala ya mpira kakurupuka kumchukua Potter kwa kuvunja mkataba wake uliovunja record
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom