curie
JF-Expert Member
- Oct 25, 2020
- 1,066
- 2,496
Madrid hana chake msimu huuFinal ya Nanjilinji Cup?
Madrid hana chake msimu huuFinal ya Nanjilinji Cup?
Tulizana tunaenda kukulipia kisasi.Ahahahaha usitukane Mamba kabla hujavuka mto
Cucurella hachezi upande wa Vin jr....hapo ajiandae kukabiliana na ValvedeKoulibaly against Benzema
Cucurella against Vinicius Jnr
...Things we love to see in football..
View attachment 2555717
Wanachelsea hii njia nyeupe mpka fainal
Tunaanzia ugenini !!View attachment 2555301
Vijana wakikaza Madrid tunampa k.o moja matataWanachelsea hii njia nyeupe mpka fainal
Maoni ya mchambuzi makini George Ambangile juu ya namna Mase anaweza fit kwenye mfumo gani.
Kaeleza vizuri namba 10 ni yule mwenye uwezo wa kuchezesha team kuunganisha safu ya kiungo ya Kati na eneo la ushambuliaji, kuwa na jicho la kupiga pass ya mwisho yenye uwezo wa kufungua team pinzani ukiangalia hizi sifa Mount hana, mount ni kama feisali toto kiuchezaji na ukizingatia pale chelsea kashapoteza namba nafasi yake anacheza Jao felix na hata msimu ujao nafasi yake itazidi kuwa ndogo zaidi kwasababu kutakuna na Nkuku, Mudryk, Madueke, Kai havert, chelsea watamsajili jumla felix alafu kutakuwa na sterling pamoja na striker watakaosajili na kwa mfumo wa Potter wa 3-4-3 mbele wanahitajika wachezaji watatu tu je nafasi ya Mount unaona itakuwepo?Maoni ya mchambuzi makini George Ambangile juu ya namna Mase anaweza fit kwenye mfumo gani. View attachment 2556426
Kwa Conor Gallagher hapana sikubaliani na wewe yule ni mchezaji Ambaye ana sifa tofauti na wachezaji tulionao wengi ni strategic player kama alivyokuwa Obi Mikel under Mourinho kwenye awamu yake pili kuja chelsea, Pamoja na kwamba Conor Gallagher technically hayupo vizuri but kitu anachooffer kwenye team ni ile work rate yake ni hali ya juu ana cover distance kubwa ya Uwanja kupitia runs zake, pili ni mchezaji Ambaye ana pressing ya hali juu sana. Ni mchezaji Ambaye anayehitaji pale team inapotaka kulinda matokeo, au inapozidiwa au inacheza na tough opponents ambao Wana mmiliki mpira kwa muda mrefu so aina hii ya mchezaji unamwitaji sana kwenye team nikupe mfano leceister walituzidi mno hasa kipindi Cha pili lakini angalia baada ya kocha kumwingiza Conor Gallagher alibadilisha mchezo cos alisaidia team kwenye kukaba na kuleta balance ya midfielder ndipo game ikawa yetuKiufupi Mount = Simba Bob Jr
Dirisha la January tulisajili Simba wakali sana.
Kipindi cha nyuma niliwahi kusema, tulikuwa na wachezaji wa kawaida sana kikosini na walipata namba kwa sababu hatukuwa na wachezaji wenye viwango vikubwa.
Pamoja na Cheek na Gallagher kujituma sana nowdays, still ni wachezaji wa kawaida sana na wataondolewa dirisha kubwa.
No. 10 inategemea na formation, kuna formations zingine ambazo hazina kabisa na. 10Kaeleza vizuri namba 10 ni yule mwenye uwezo wa kuchezesha team kuunganisha safu ya kiungo ya Kati na eneo la ushambuliaji, kuwa na jicho la kupiga pass ya mwisho yenye uwezo wa kufungua team pinzani ukiangalia hizi sifa Mount hana, mount ni kama feisali toto kiuchezaji na ukizingatia pale chelsea kashapoteza namba nafasi yake anacheza Jao felix na hata msimu ujao nafasi yake itazidi kuwa ndogo zaidi kwasababu kutakuna na Nkuku, Mudryk, Madueke, Kai havert, chelsea watamsajili jumla felix alafu kutakuwa na sterling pamoja na striker watakaosajili na kwa mfumo wa Potter wa 3-4-3 mbele wanahitajika wachezaji watatu tu je nafasi ya Mount unaona itakuwepo?
Cash Money Forever Southern Highland
Sema ukuendelea kuota vizuri kule mwishoni ndoto ilikuwa inaendelea kuwa mmebeba kombe la mbuzi.




Tutawashona midomo.