Kaeleza vizuri namba 10 ni yule mwenye uwezo wa kuchezesha team kuunganisha safu ya kiungo ya Kati na eneo la ushambuliaji, kuwa na jicho la kupiga pass ya mwisho yenye uwezo wa kufungua team pinzani ukiangalia hizi sifa Mount hana, mount ni kama feisali toto kiuchezaji na ukizingatia pale chelsea kashapoteza namba nafasi yake anacheza Jao felix na hata msimu ujao nafasi yake itazidi kuwa ndogo zaidi kwasababu kutakuna na Nkuku, Mudryk, Madueke, Kai havert, chelsea watamsajili jumla felix alafu kutakuwa na sterling pamoja na striker watakaosajili na kwa mfumo wa Potter wa 3-4-3 mbele wanahitajika wachezaji watatu tu je nafasi ya Mount unaona itakuwepo?
Cash Money Forever Southern Highland