Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi huyu dogo ni mzuri?
Chelsea paid less than €1 million for Jamaican wonderkid Dujuan Richards, who was close to joining Newcastle before Joe Shields played a crucial role in getting the deal done.
Ecuadorian wonderkid Kendry Paez will also be a Blue soon.
 
Huyu Raphinha akienda Barcelona ataenda kuwa tu kama akina
  1. Luuk De jong,
  2. Merphis,
  3. Adama Traore,
  4. Countinho
  5. na Co
Kwa hiyo tuwaache tu waingie mkenge
Ivi dili la rafinya lilishiaga wapi kwanini tulishindwa kumchukuwa?
 
FrDPtS-XsAEq7aA
Benchillwel hauzwi hata hao Man City wanajua hilo sidhani hizo tetesi ni za ukweli labda ungekuwa Ziyech hapo sawa
 
Ubovu wa Chelsea, Liverpool na Man u umechangia nyinyi kuwa hapo
Hapana. Ukiangalia tumepoteza mechi ngapi msimu huu na tumeshinda ngapi, inaonesha tuko vizuri tu msimu huu. Hata tukifungwa imekuwa ni Kwa kuwa na siku mbaya kazini. Hata hao wengine mngekuwa vizuri Kwa form hii Bado tungekuwa huko juu, pengine hata juu yenu
tukiongoza ligi
 
Sijasema nyinyi ni wabaya ila nimesema ubovu wa Chelsea, Liverpool na Man u pia imechangia nyinyi muwe hapo ebu itafakari hii kauli kwa umakini utanielewa namaanisha nini
 
Labda kama sijakuelewa vizuri. Ni kama unasema sisi tuko juu Kwa sababu nyie mmekuwa wabovu. Mimi nasema hata mngekuwa vizuri ( mnashinda mechi zenu nyingi pia) na sisi Kwa form hii, bado tungekuwa huko juu. Labda tungegawana points tukikutana (mfano tulivyogawana na ManUtd) au tungefungana lakini basis ya ushindani wetu ingekuwa Kwa namna tunavyopiga timu za nje ya top 6, ambazo nyingi tumezipiga
 
Siwapingi of course mpo vizuri hilo halina doubt lakini point yangu ya msingi Arsenal ilipata nguvu ya kuona msimu Huu wanaweza kuwania ubingwa imechangiwa na chelsea, Liverpool na Man u kutokuwa na kiwango kizuri so team shindani imebaki kuwa Man City pekee ni kama ule msimu wa leceister city walichukua ubingwa
 
Aah. Sawa nimekuelewa
 
Sasa nyie kilichowakosesha nguvu ni Nini na ndo matimu yaliyosajili sana hayo
 
Hivi yule mundryk ni wa million 100 kweli au waukraine walitaka mil 10 mkachanganya mkataba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom