Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi yule mundryk ni wa million 100 kweli au waukraine walitaka mil 10 mkachanganya mkataba
Akifanya poa baadae usije ukaikataa comment wapo wenzako walibeza usajili wa paund mil 107 wa Enzo angalia namna anavyokiwasha sasa hivi
 
Siwapingi of course mpo vizuri hilo halina doubt lakini point yangu ya msingi Arsenal ilipata nguvu ya kuona msimu Huu wanaweza kuwania ubingwa imechangiwa na chelsea, Liverpool na Man u kutokuwa na kiwango kizuri so team shindani imebaki kuwa Man City pekee ni kama ule msimu wa leceister city walichukua ubingwa
Acheni kutafuta kichaka cha kujificha

Arsenal yupo juu sio kwa sababu ya ubovu wa timu nyingine ila kwa sababu ya ubora wao

City hii hii kwa misimu mitano nyuma maximum points walikusanya after 27 games ni 66, sasa ubovu wa timu nyingine unaingiaje hapo? Hizo last 5 seasons nazo mlikua wabovu pia kwamba hamkuweza kumfikia City?

Kama hujaelewa angalia picha inajieleza kisha kaangalie table mkeka upoje
20230314_093325.jpg
 
Watu mmetumia £500M kusajili kisha mnasema timu yenu mbovu

Arteta miaka yake yote hiyo hajafikia matumizi makubwa kiasi iko

Binafsi nasimama na Potter aongezewe mkataba
20230226_191151.jpg
 
Na bado mmesajili Nkuku mchezaji kila baada ya mechi mbili yupo wodini
Chelsea kuna mafundi wengi kuna Mudryk, Madueke, kai havertz, jao felix, sterling, Mount na striker mwingine atasajiliwa so kutokana na hilo itamfanya nkuku asiwe anacheza kila game hapo itasaidia kutopata injury za Mara kwa mara
 
Ivi dili la rafinya lilishiaga wapi kwanini tulishindwa kumchukuwa?
Mwanangu usema Ukweli kabisa wewe siyo mtu wa Football kabisa. Ila ni mshabiki unayoipenda Chelsea. Yaan umetokea tu kuipenda Bila sababu yeyote; Ila nafurahia tu sababu Unaipenda Timu ambayo na mimi huwa nina Mapenzi nayo.

OllaChuga Oc Bila shaka ni Home boy piaa
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyu jamaa hujakosea kabisa, sio mpenzi wa football yaan anaulizia habari za raphina?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom