Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Fq5RJWrXsAAqepH
 
Bado tunasajili
  • Full name: Dujuan Richards
  • Date of birth/Age: Nov 10, 2005 (17)
  • Citizenship:
    Jamaica
    Jamaica
  • Height: 1,89 m
  • Position: Centre-Forward
  • Current club: Phoenix All Stars
  • Current international:
    Jamaica
    Jamaica
maxresdefault.jpg

Fq-CxcQWcAAVRHx
Huyu dogo anasura ya forward sana...Kai Havert nae sura yake ndo inambeba pale mbele make uoni akicheka kama wale wajinga ambao wakikosa goli badala ya kujuta wao wanakenua meno. Ningekuwa kocha ningekua nawapiga konzi sana tu.

Lini walimwona Drogba akikosa nafasi anakenua meno kwa kucheka.
 
Akisajiliwa Jao felix nafasi ya Mount itakuwa ngumu kupita maelezo kwasababu ataongezeka nkuku na report mbalimbali zinasema chelsea wanampango wa kusign striker kwa maana hiyo chelsea pale mbele itakuwa na nkuku,jao felix, havertz, Mudryk, sterling, Madueke na striker tutayemsajili na kwa mfumo wa 3-4-3 mbele wanahitajika wachezaji watatu tu je nafasi ya Mount itakuwa wapi hapo?
 
Chelsea paid less than €1 million for Jamaican wonderkid Dujuan Richards, who was close to joining Newcastle before Joe Shields played a crucial role in getting the deal done.
Ecuadorian wonderkid Kendry Paez will also be a Blue soon.
 
Alisajiliwa Jao felix nafasi ya Mount itakuwa ngumu kupita maelezo kwasababu ataongezeka nkuku na report mbalimbali zinasema chelsea wanampango wa kusign striker kwa maana hiyo chelsea pale mbele itakuwa na nkuku,jao felix, havertz, Mudryk, sterling, Madueke na striker tutayemsajili na kwa mfumo wa 3-4-3 mbele wanahitajika wachezaji watatu tu je nafasi ya Mount itakuwa wapi hapo?
Hivi ishu ya Nkuku imekaaje na Chelsea? Mie sielewi elewi.
 
Alisajiliwa Jao felix nafasi ya Mount itakuwa ngumu kupita maelezo kwasababu ataongezeka nkuku na report mbalimbali zinasema chelsea wanampango wa kusign striker kwa maana hiyo chelsea pale mbele itakuwa na nkuku,jao felix, havertz, Mudryk, sterling, Madueke na striker tutayemsajili na kwa mfumo wa 3-4-3 mbele wanahitajika wachezaji watatu tu je nafasi ya Mount itakuwa wapi hapo?
Ndio maana mkataba umepooza sana, huyo summer atauzwa na wengine wa mbele
  1. Mount
  2. Pulisic
  3. Ziyech
  4. Datro Fofana - Mkopo
  5. Lukaku - to Inter
  6. Auba
  7. Omari - mkopo
  8. Broja ???
 
Alisajiliwa Jao felix nafasi ya Mount itakuwa ngumu kupita maelezo kwasababu ataongezeka nkuku na report mbalimbali zinasema chelsea wanampango wa kusign striker kwa maana hiyo chelsea pale mbele itakuwa na nkuku,jao felix, havertz, Mudryk, sterling, Madueke na striker tutayemsajili na kwa mfumo wa 3-4-3 mbele wanahitajika wachezaji watatu tu je nafasi ya Mount itakuwa wapi hapo?
Datro walimchukuaga wa nini?
 
Naona Cheek akicheza winga anakuwa mzuri sana kuliko akicheza katikati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom