Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Katika wachezaji siwaelewi kwenye kikosi wa kwanza kabisa ni Havertz, yule dogo ana kera sana yaani. Ule uchezaji wake kwa kweli huwa unakera sana. Kwenye suala la kocha ndio bure kabisa yaani yule mzee ni kiande sana, jitu ata sub jalijui.
Kuna watu wanajisahaulisha na haya matakataka. Timu inajiendesha yenyewe hii hakuna kocha hapa, kai anapoteza mipira kizembe kocha anatoa macho tu hana ubavu wa kuwakalipia wachezaji. Maajabu huwa ni kwenye sub za kocha sasa huwa ni full gamble
 
kiukwely ile hari inaanza kurudi taratibu ukiangalia kila mchezaji anajituma na timu inapata matokeo yan kk na cucurela utasema sio wale yan wanaperfom kwenye level yao fofana sina mashaka nae uyu dogo lilikua ni suala la mda kiungo cha kati akirud na kante pale
mbele pale mikhailo anaanza kujipata taratibu sina shaka nae ila improvment ya havertz

Dogo Modricky ni disaster nyingine Chelsea pale. Dogo anajua mpira. Movement ya goli ya pili ilianzia kwake niliipenda sana anavyocheza. Big up kwake Cheek pia leo kakiwasha kweli kweli
 
Team inaanza kuclick kwa Mara ya kwanza nitoe pongezi kwa Potter amefanya tactical change sahihi kwa wakati sahihi kwenye kipindi Cha pili baada ya kuona tumezidiwa pale Kati kamuingiza Gallagher pale aliua game kabisa kwasababu akaongeza mtu anayepress nakufanya tuwe midfielders watatu ndipo game ikawa yetu.

✓Enzo dah tumepata mtu aisee magoal mawili yamepitia kwake good performance 🔥 ni aina ya mchezaji tulikosa muda mrefu wa kufunga defensive ya opponent na kinachonivutia kwake ni mtu wakupiga forward passess

✓koulibaly,Fofana, Cucurella wamecheza vizuri Sana hata alivyoingia bachishile naye akakiwasha good job

✓Kai anaanza kukomaa Sasa 🔥

NB: Naona sasa team imekaa sawa namna tunavyoshambulia superb na namna tunavyodefense wooh Potter amepata team anayoitaka.Conglatulations to all chelsea fans
Kila mechi Felix anagonga mwamba ila naamini siku zinakuja mpira utaanza kuingià wavuni na hapo ndipo ambao hawajacheza na Chelsea hawatapenda game zetu.
 
Conor aongelewi ila jana alikiwasha sana
20230312_154124.jpg
 
Kacheza vizuri ila hajatulia, uchezaji wa Cucu hauna kitu kinachoitwa good composure, akikutana na baadhi ya timu bzuri utaona kwamba haufai. Uchezaji wake mzuri ni wa papara papara bila kutulia kama akina Badiashile
Jana alitulia hata pass zake zilikuwa na macho wewe umemjudge kwa mechi zilizopita
 
Ile v aliyopiga kipofu dk za mwisho na kuwaacha wacheza kama watatu kwenye position nzuri ya kufunga, hukuona. Let asume atakuwa bora zaidi
Cucurella wa mechi hizi mbili ni tofauti na yule wa Mwanzo nadhani criticism zimemjenga
 
Bado tunasajili
  • Full name: Dujuan Richards
  • Date of birth/Age: Nov 10, 2005 (17)
  • Citizenship:
    Jamaica
    Jamaica
  • Height: 1,89 m
  • Position: Centre-Forward
  • Current club: Phoenix All Stars
  • Current international:
    Jamaica
    Jamaica
maxresdefault.jpg


Fq-CxcQWcAAVRHx
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom