Hivi hivi ndio mashabiki wa Arse8 wanaanzaga kuhamia kwenye timu zingine
- Wanaanza kusifia shabiki mmoja mmoja halafu
- Mchezaji mmoja mmoja halafu
- Kocha na uongozi mmoja mmja halafu
- Uongozi mzima na kocha halafu
- Timu nzima
Angalau zoezi kama hili linaweza kuchukua misimu miwili hadi mitatu
Kitakachoharibu hiyo move ni moja tu Arsenal wakianza kufungako tumagoli tuchache tuchache hasa kwenye BIG team
Ngoja ligi ianze halafu Arsenal wamfunge Chelsea hata goli moja bila, mashabiki wote wa Arsenal wanarudi nyumbani
Ngoja Arsenal wafungwe mfululizo kwa misimu mitatu
Watakaobaki ni wachache sana
Hapa nina maanisha
Mahaba kidogokidogo ndio inazaa MAPENZI halisi