42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,914
Mancity uefa anapewaga vitimu vya ajabuajabu.Man city kaamua kufanya Mauaji huko
Akija kukutana na wanaume biashara inaishia hapo.
Sijui wanahonga mbwa wale.
Mancity uefa anapewaga vitimu vya ajabuajabu.Man city kaamua kufanya Mauaji huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu tena wana funza miguuni, wanaogopa kupiga straight golini
Mancity uefa anapewaga vitimu vya ajabuajabu.
Akija kukutana na wanaume biashara inaishia hapo.
Sijui wanahonga mbwa wale.
cku yako imeadhimishwa jana ya 7juu kwaio ma7juu mmekua wew na mmama mwenzio leipzgChristopher Nkuku ni player wa CHELSEA. Meaning CHELSEA mlipigwa saba na Manchester city. TUSIBISHANE [emoji849][emoji849]
Wewe level zako za ueropa huko huku UEFA champions league haikuhusuChristopher Nkuku ni player wa CHELSEA. Meaning CHELSEA mlipigwa saba na Manchester city. TUSIBISHANE [emoji849][emoji849]
Mwaka hata ueropa conference league ushiriki.Wewe level zako za ueropa huko huku UEFA champions league haikuhusu
Me nipo nashiriki huku UEFA we komaa na hiyo futuhi yenuMwaka hata ueropa conference league ushiriki.
Hamtokaa mbebe uefa, niko paleeeeAcha kuumia.
We ulimuona uwanjani?Christopher Nkuku ni player wa CHELSEA. Meaning CHELSEA mlipigwa saba na Manchester city. TUSIBISHANE [emoji849][emoji849]
Hamtokaa mbebe uefa, niko paleeee
Christopher Nkuku ni player wa CHELSEA. Meaning CHELSEA mlipigwa saba na Manchester city. TUSIBISHANE [emoji849][emoji849]
Unamaanisha Mikumi National Park au?Tuna imani na potter mikumi kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣Unamaanisha Mikumi National Park au?