Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ushindi wa manati weee, sikufurahia huu ushindi wa leo kwa sababu unampa kiburi Boehly kwamba ana kocha wakati hana. Dortmund wanaongoza ligi. Tutakuatana nae akiwa na monkari ya ushindi tu
Duh
Siku zinakimbia.

Na wewe ushaanza kumkataa Mtaalam GP?
 
Lakini tuliwaambia muacheni Tuchel
Mkasema Potter anafaa,atajenga CV mbele kwa mbele
CV kitu gani bwana!?!
Ndg zangu niliwambia kitambo kwamba huyu kocha hana uwezo wa hiyo timu hana historia yoyote ya timu kubwa baada ya kuona match zake tatu za mwazo....wengi humu wali mtetea na kumlinganisha na klop wa pool ila sasa wamesha elewa huyu jama ni clueless hata umpe miaka mitano hawezi kujenga timu kubwa
 
Nilikuwepo humu Mkuu.
Kila aliyemkosoa Mtaalam Potter,alitukanwa

Wale wafuasi wa Tuchel wakatukanwa
Kiukweli,ni heri timu ungeendelea kubaki kwa Tuchel kuliko huyu jamaa ambaye anazidi kuipeleka timu maporomokoni.
 
Yule jamaa hana tactical approach kwa timu, hao wachezaji wana uwezo mzuri sana timu ipewe kocha mwenye uwezo.
 
Ukiwaangalia Arsenal na city wanavyocheza hadi raha.

Mpira unatembea katika njia zake (Kimfumo, kifalsafa, kimbinu, kistyle)

The BLUES tunacheza mpira wa changanyikeni, mpira wa mrundikano, mpira wa sokoni.
Ni kweli ila nataka ni kwa hakishe sisi Chelsea tuna wachezaji wazuri kuliko Arsenal, isipo kua arsenal ina kocha anae jitambua kuliko bumbumbu wa Chelsea, tuna uwezo wa kucheza mchezo mzuri unao vutia kuliko Liverpool arsanal Man u, tukipata kocha kama Enrique au TT
 
Ni kweli ila nataka ni kwa hakishe sisi Chelsea tuna wachezaji wazuri kuliko Arsenal, isipo kua arsenal ina kicha anae jitambua kuliko bumbumbu wa Chelsea, tuna uwezo wa kucheza mchezo mzuri unao vutia kuliko Liverpool arsanal Man u, tukipata kocha kama Enrique au TT
Acha janja ya nyani wewe,, et chelsea anawachezaji wazuri kuliko arsenal hii,,
 
Kwani unabisha au ni ushamba wako? Linganisha bei za wachezaji umri wao na mafanikio yao kati ya hao wa arsenal na Chelsea, acha kujizima data mkuu. Ndo maana arsenal haitachukua kombe bila msada wa FA na VAR kumnyima City mara ya pili back to back
 
Ukiwaangalia Arsenal na city wanavyocheza hadi raha.

Mpira unatembea katika njia zake (Kimfumo, kifalsafa, kimbinu, kistyle)

The BLUES tunacheza mpira wa changanyikeni, mpira wa mrundikano, mpira wa gulioni
Ukitaka angalia sub zinazofanyika, sijawah ona siku potter kafanya sub zikaleta matunda zaidi ya kutufanya tuonekane wabovu zaidi.

Halaf angalia sub wanazofanga eth,arteta,pep zinavyoenda kubadili mchezo
 
Nyie mlifikiri eti apewe mda atabadilika yule kichwa kieupe hata kupanga tu timu impe matokeo ya haraka haraka uko anajenga timu hawezi.....
 
Kwani unabisha au ni ushamba wako? Linganisha bei za wachezaji umri wao na mafanikio yao kati ya hao wa arsenal na Chelsea, acha kujizima data mkuu. Ndo maana arsenal haitachukua kombe bila msada wa FA na VAR kumnyima City mara ya pili back to back
Nimegundua kumbe wewe huna akili ya mpira.
Kwahiyo wewe unafikiria Arsenal anabebwa na FA/VAR?

Nili like post yako ya juu kwa kusema Chelsea wana wachezaji wazuri kuliko Arsenal, lakini kwa kuwa nimegundua huna akili ya mpira, ngoja niichukue reaction yangu.

Ukiwa unaangalia mpira, weka ushabiki pembeni. Jifunze kisha ndo uje kuongea.
 
Boya wewe uliona wapi mpira ukachezwa dk.97 manina hiyo ni basketball.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom