Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

00022fc0-f851-49bd-9872-850475360c21.jpg
 
Ni kweli lakini Hapo muondoe STERLING paparazi
Sterling bado ni option nzuri kwenye attack, ni kwamba tu Potter hajui kuwatumia wachezaji alionao.

Hawa wachezaji wapya naona kama anawabeza vile. Sioni Mudryk akicheza, sioni Madueke akicheza, sioni Datro akicheza, sioni hao wote isipokuwa Enzo na Felix tu. GP bado anawaamini akina Mount, Havertz, Sterling, Cheek
 
Tulia wew goli limeingia ontime 96 dkikView attachment 2538049
Na hizi sekunde huzihesabu, Goli liliingia Dk ya 96 na sekunde 59 hiyo kimahesabu ni sawa na kusema dk ya 97
Halafu sikujua mnabishania nini, Refa anaruhusiwa kuzidi dk zilizooongezwa kama kuna upotevu wa muda baada ya muda wa kawaida kuisha. Muwe mnafuatilia sheria za FIFA na zile za ligi
1678019100192.png
 
Lewis Fofana ameomba kukutanishwa na yule mwanamama aliyemuangusha kwa bahati mbaya 💙💙
 
Jana Fofana kapigana sana, huyu ndie mfano halisia wa mchezaji anayestahili kuvaa jezi ya Chelsea. Kule nyuma mabeki walitulia vizuri. Sikuwa na shida ya performance ya Kou na Badi.

Chilwell anaanza taratibu kuja kwenye form yake ya uwezo wake wa kupokea mipira mbele kwenye maeneo ya hatari kwa timu pinzani. Kuna nyakati kama mbili au tatu Chilwell alikuwa kwenye best position anaomba mpira ila kama kawaida ya wachezaji wetu kila mtu anataka awe shujaa.

Havertz sijui ana matatizo gani, clinicality yake siku hizi hata wale wa Championship wanamzidi mbali sana. Ile chance yake ya jana angewahi kumpelekea kipa mp[ira wa juu lile lilikuwa ni cool goal, ila kamfuata kipa hadi amemfikia karibu ndipo anajifanya super star.

Wachezaji wangekuwa makini jana tungetoka na goli 4 au 5-0
 

Danny Murphy suggests Chelsea might already have their new Thiago Silva​

Danny Murphy believes Wesley Fofana has the qualities to play the role of ball-playing defender at Chelsea, just like Thiago Silva.

On Saturday, it was all about Fofana’s headed goal, and it is hardly a surprise.

It was Chelsea’s first goal after a three-game goal drought and their only second goal in seven games. The Blues desperately needed someone to score, and Fofana did just that.

Murphy, however, pointed out that Fofana offered far more than just the goal.

“When you play for Chelsea, you need to be good on the ball, you need to be [able to play] forward passes with confident,” the former England international told BBC MOTD when speaking about Fofana.

“We see the progressive passing, somebody, similar to [Thiago] Silva, who’s got the confidence to play on the front foot and get Chelsea up the pitch, which they’ve lacked in recent weeks.

“His passing is excellent, he’s comfortable on the ball, and he’s a threat in both boxes.”

The 22-year-old completed 11 passes into the final third in the 1-0 win over Leeds United the joint-second most among Chelsea players after Enzo Fernandez (14).
 
Kuhusu Badiashile

Badiashile pasipo kupinga ni CB mzuri na aliyetulia. Kwa umri wake wa miaka 21 na kwa uchanga wake kwenye EPL so far kacheza vizuri na anastahili kuanza mechi zote akiwa mzima. Ni bahati mbaya tu hayuko kwenye list ya UCL

Pamoja na uzuri wake huo Badiashile bado muoga kwenye kufanya passing za aidha long balls au through balls kama anavyofanya Silva au Koulibally. Fofana naona yeye hana tatizo kwenye hilo, may be kwa sababu sio mgeni kwenye EPL. ndio advantage tulionao kwake

Naamini Badiashile akizoea Ligi naye atakuwa ni beki mchezeshaji na passer mzuri na hivyo kufanya Chelsea ikamilike kule nyuma. Msimu ujao tukimpata Levi Colwill na Gvardiol, tutakuwa tumemaliza beki enedlevu ya Chelsea angalau kwa miaka 10+ ijayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom