Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,196
Huyo ni kocha mwenyeweMganga wa Havertz atakuwa na nguvu za kichawi sana
Huyo ni kocha mwenyeweMganga wa Havertz atakuwa na nguvu za kichawi sana
Nadhani ndio ilikuwa match ya mwisho kwa Tuchel kwenye EPLHawa Leeds ndio walitubonda goli tatu bila majibu
Jamaa hataki kufukuza huyu msngBoehly kashangilia goli sana kuliko kocha, ujumbe wa picha hapo ni dhahiri
Mechi ya mwisho kwa Tt ilikua dhidi ya Dinamo Zagreb na ndio ilikua mechi ya kwanza ya makundi UEFANadhani ndio ilikuwa match ya mwisho kwa Tuchel kwenye EPL
Hakuna kocha pale ni kipele kimoja tu yuleSub ya kwenda kulinda goli
Yeye kasema EPLMechi ya mwisho kwa Tt ilikua dhidi ya Dinamo Zagreb na ndio ilikua mechi ya kwanza ya makundi UEFA