




pale ingekuwa ni sisi ndio tayar tushapoteza hata sare tusingepata.Kwenye maelezo yangu sikutaja UEFA.Mechi ya mwisho kwa Tt ilikua dhidi ya Dinamo Zagreb na ndio ilikua mechi ya kwanza ya makundi UEFA
Mimi nimetaja UEFAKwenye maelezo yangu sikutaja UEFA.
AnabakiDortmund akitufunga potter ataendelea au atafukuzwa?




Sidhani kama atabaki maana hicho ndo kipimo chake cha mwishoAnabaki![]()
Unamkumbuka huyu Mwamba?Hapo ten hag kalamba wote bado tu kocha la Brighton napo sababu hawakutana bado.
Sana ,yule dogo ni future ya hii timu, ametulia na ana cheza kwa akili sana ,yaani utulivu na akili ni kama Thiago ,safi sanaFofana kapambana sana anacheza namba 2 kama namba 4 ni back up nzuri kwa jemsi
Badiashile kwann hajajumuishwa kwenye kikosi Cha UEFA. Jamaa ni mtulivu sana
Daaah nimechukia sana kiukweli, siku yangu imeenda vibaya sana kwa Chelsea kuendelea kulibeba hili li-Chuck NorrisUshindi wa leo unamfanya huyu mpuuzi tuendelee kuwa nae![]()

Hongereni wanangu wenyewe The Blues, nasikia leo mmempiga mtu kipigo cha mbwa koko.Hatujafungwa tu bado?!
🤣🤣🤣🤣🤣Hongereni wanangu wenyewe The Blues, nasikia leo mmempiga mtu kipigo cha mbwa koko.