Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

I remember when Chelsea won their first game under Graham Potter, the fans where chanting to the board ;
"Call Tuchel back and sack him again"[emoji16]
Hiyo ndio tabia alisia ya mashabiki wa timu zote duniani, Ngoja Potter ashinde mechi mbili mfululizo, upepo utabadilika
 
Mimi naamini Chelsea EPL nzima ndio ina kikosi bora ila wachezaji wamegoma 2.. Naamini pia tuna kikos bora kuliko wakati mwingine wowote.
Tuna kikos cha vijana imara chenye world class players.Kuanzia kipa hadi strikers ila kwa sababu wamegoma huwez watetea Ukiangalia mechi na Tottenham utaamini Chelsea ina mgomo mkubwa na hauishi...
1. Wachezaji wanashoot slowly ili kipa adake.
2. Goli la kwanza pasi ilitolewa af ikanyang'anywa na hakukua na reaction yoyote
3. Goli la tatu ndio kabsaaa yani kona inapigwa watu wamesimama kama mishumaa
Wanagoma ili wacheze Europa Conference league kumbe wachezaji hawaitaki UEFA
 
Leo ni kupakwa mafuta na kupakatwa tu ,mamaeee ,timu la kifala kila weekend ni kuchezea ukuni tu.
Mbwa huyo Potter na kichwa maji boehly wameharibu hii timu
 
London Clubs kwa misimu saba iliyopita. Msimu ambao Arsenal walifanya vizuri Chelsea tulimaliza nafasi ya 10.
Screenshot_20230106-173437_1675018550385.jpg
 
Mimi nawaambia ukweli, tatizo lembu huwa ni mbishi hivi hivi miaka yote ,hata pre season tulijadili nae Sana humu akawa mbishi Sana


Mfano ukiniwekea Ten hag na Di zerbi binafsi namchukua Di zerbi

Ten hag anatembea na individual brilliance za wachezaji hawapungui watatu , Rashford Casemiro na Degea ,

Manchester United ni timu ambayo haina tofauti kimfumo na middle table teams, angalia hapo chini ...

ndio maana walipoenda Emirates ndani ya dk 90 waliingia ndani ya box la Arsenal mara 13 tu na hapo Ten hag kakuta timu sio mbaya na akapewa €250m aboreshe kikos

View attachment 2536309
Mmmh, Kwamba ETH anategemea individuals brilliance.

Pale kwenu( Arsenal) wachezaji wenu muhimu wakishuka viwango, Arteta anabaki na nini?

Makocha bora wote, lazima wanakuwa na wachezaji wanaoperform vizuri.
Moja kati ya kazi za Kocha ni kutengeza mfumo unaruhusu wachezaji wake waoneshe hiyo " Individual brilliance"
 
Lei tubondwe hata 5 bila hivi labda mabosi akili zitashtuka kidogo match ya dortmund akae kocha mwingine.
 
Twende na 343 vs Leeds utd

- Mudryk - Auba - Madueke-

Chil - Zakaria - Enzo - Mount

-- Badi - Koul - Fofana -
Changamoto hapo kwa Mount na Koulibally
Kou hajazoez kabisa backline ya 3 na alishasema
Mount kucheza nafasi ya James labda acheze Chalobah
 
Potter hawezi kuacha hii 4-2-3-1

------------------ Auba------------------

--- Mudryk -------- Felix -------- Sterling----

---------Enzo -------------- Zakaria -------

Chil - Badiashile - Fofana - Chalobah

-------------Kepa -------------
 
Confirmed line up

4-2-3-1

------------------ Havertz------------------

--- Sterling -------- Felix -------- Cheek----

---------Enzo -------------- Kovacic-------

Chil ---- Badiashile ---- Koulibaly ---- Fofana

-------------------Kepa ------------------
 
Leo tunagongwa tena. Na mzunguko unaendelea.

Mabosi akili hazimo...

Tushuke tu daraja wallah.
 
Hao Leeds hawana timu ya maana lakini kama walivyofanya Soton nao watatufunga ili litimie lile andiko linalosema kwamba

KWA POTTER SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom