Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Maboss wanapigania kuongeza uwanja , wanafanya mpango wanunue hilo eneo la pembeni ili kujenga uwanja mkubwa zaidi ambao ndani yake wataweka museum View attachment 2534843
1677506648177.jpg
 
Chelsea are interested in replacing under-fire manager Graham Potter with Roberto de Zerbi, the man who took over from Potter at Brighton.

(Source: Football Insider)View attachment 2533699
Huyu bonge Moja la kocha ,Tactician

Ukiniuliza makocha Bora Epl kwa Sasa kimbinu nawapanga hivi

Pep Guardiola

Mikel Arteta

Di zerbi

Eddie Howe

Ten hag

Unai Emery

Conte

Klopp

Di zerbi ame wa outshine Klopp ,Pep ,Arteta kwa umiliki wa mpira

Kwa timu zinazofanya buildup Bora EPL Kuna Arsenal ,City na Brighton

Potter akiwa hata Brighton timu yake ilikuwa ina struggle kufunga

Di zerbi akienda Chelsea mwakani anagombea ubingwa
 
Mapenzi bana inampa mpenda upofu
 
Andrey Santos amejiunga kwa mkopo na timu ya Vasco Dagama hadi Juni 30 2023. Anaweza akacheza Jumapili ijayo mechi yake ya kwanza tangu arudi hapo kwa mkopo
 
Huyu bonge Moja la kocha ,Tactician

Ukiniuliza makocha Bora Epl kwa Sasa kimbinu nawapanga hivi

Pep Guardiola

Mikel Arteta

Di zerbi

Eddie Howe

Ten hag

Unai Emery

Conte

Klopp

Di zerbi ame wa outshine Klopp ,Pep ,Arteta kwa umiliki wa mpira

Kwa timu zinazofanya buildup Bora EPL Kuna Arsenal ,City na Brighton

Potter akiwa hata Brighton timu yake ilikuwa ina struggle kufunga

Di zerbi akienda Chelsea mwakani anagombea ubingwa
Hapo ten hag kalamba wote bado tu kocha la Brighton napo sababu hawakutana bado.
 
Kwani wewe umeweka hoja hapo, mimi naona orodha tu iliyopangwa kwa maoni yako
Ungechanganua ni kwanini umepanga hivyo nasio tungekuja na hoja
Kama unaangalia epl mechi za timu nyingine utanielewa ,ila Kama hata timu yako Chelsea huna hamu ya kuangalia huwezi kunielewa
 
Hapo ten hag kalamba wote bado tu kocha la Brighton napo sababu hawakutana bado.
Sio kigezo Cha kuwa juu ,hata yeye wamemlamba vzr tu, Tena Kama alivyoenda Emirates alipigwa na kuchezewa kuoneshwa kimbinu bado
 
Hii timu wakati ligi inaanza na kwenye pre season tuliposema itakuwa hata kufunga ni mtihani tulionekana wahafidhina.

Timu ambayo inajisajilia ovyo hata Kama wachezaji ni wazuri haiwezi kutoboa ,labda iwe na Department Kali Sana ya usajili na kuzingatia aina ya uchezaji husika wa timu ,mfano ni Madrid.

Kwa Chelsea hii akija kocha mwingine atataka apewe wachezaji wengine Tena .
 
Huyu bonge Moja la kocha ,Tactician

Ukiniuliza makocha Bora Epl kwa Sasa kimbinu nawapanga hivi

Pep Guardiola

Mikel Arteta

Di zerbi

Eddie Howe

Ten hag

Unai Emery

Conte

Klopp

Di zerbi ame wa outshine Klopp ,Pep ,Arteta kwa umiliki wa mpira

Kwa timu zinazofanya buildup Bora EPL Kuna Arsenal ,City na Brighton

Potter akiwa hata Brighton timu yake ilikuwa ina struggle kufunga

Di zerbi akienda Chelsea mwakani anagombea ubingwa
Nimekusikia ngoja na mimi nije na orodha yangu,
Makocha 10 bora wenye mbinu na style bora na inayofanya kazi msimu huu wa 2022/23 ni
  1. Mikel Arteta - Ana timu changa lakini ameweza kukaa kileleni mwa ligi na kuwashinda akina pep ambaye ana timu nzuri
  2. Ten hag - Tangu apoteze mechi mbili za mwanzoni kabisa mwa ligi na bado akiwa mgeni, toka hapo amekuwa na wining percentage nzuri sana nafikiri hata kuliko PEP ukichulia ubora wa squad aliyonayo PEP
  3. Antonio Conte - Pamoja na timu mbovu aliyonayo amefanikiwa kuibakiza timu kwenye top 4
  4. Pep Guardiola - huyu alitakiwa kuwa kileleni mwa ligi kulingana na wachezaji bora alionao lakini kwa sababu ya ufahidhina kwenye style of playing ameishia kuwa kwenye namba 2 ambayo nayo anaweza kupokonywa na Man U
  5. Eddie Howe - timu ya kawaida sana iliyokuwa mkiani lakini kajitahidi na kuipeleka timu hadi nafasi ya 5
  6. Marco Silva - Timu ya Championship lakini amekuwa na mbinu na style dhabiti iliyompa point za kutosha kuwa kwenye top 7 hadi sasa
  7. Roberto De Zerbi - Pamoja na kweli kwamba Potter aliiacha timu pazuri lakini pia naye kaonyesha kuwa kocha mzuri na mwenye mbinu hasa kwa kuweza kuibakiza timu juu ya table na pia kuweza kufunga timu kubwa kudroo na kwuafunga Liverpool mara 2, kuwasuprise Chelsea kwa goli 4,
  8. Thomas Frank - Kama Silva ana timu ya Championshio lakini amekuwa na mbinu na style dhabiti iliyompa point za kutosha kuwa kwenye top 9 hadi sasa
  9. Klopp - ni kocha mzuri lakini mbinu zimemuishia hadi anastrugle kutoka kwenye midtable hadi nafasi ay 6
  10. Unai Emery - pamoja an kuipokea timu October ameweza kuitoa timu mkiani hadi nasfai ya 11
Nimejaribu kufafanua sababu za kufikria kocha anastahili kuwepo kwenye hiyo nafasi
 
Hii timu wakati ligi inaanza na kwenye pre season tuliposema itakuwa hata kufunga ni mtihani tulionekana wahafidhina

Timu ambayo inajisajilia ovyo hata Kama wachezaji ni wazuri haiwezi kutoboa ,labda iwe na Department Kali Sana ya usajili na kuzingatia aina ya uchezaji husika wa timu ,mfano ni Madrid

Kwa Chelsea hii akija kocha mwingine atataka apewe wachezaji wengine Tena
Hicho kitu ndio tumekiandaaa ndio maana tukawawappoint vivel,wistanley,lawrance stewart,joe shield and Kyle Macaulay.

Too soon kuongea hivyo, sasa hata wale waliobora wanaonekana hawafai na hii ni swala la kiufundi ambalo potter inabidi alaumiwe.

Unahisi mchezaj gani ambae ameimprove tangu Potter aje?

Huwez walaum wachezaj wapya ikiwa hata wale waliopo wanazidi regress, the whole team now hakuna improvement yoyote zaidi ya kuregress.

Unahisi kocha yoyote mzuri atashindwa kupata performance nzur wachezaj wote

Huwez sema wachezaj wote 25+ ni wabovu never,
Potter kashindwa.
 
Ndio nisemacho ,haijulikan mmewasajili ili watumikaje

Huon Kuna gepu Kati ya Potter na wanaomsajilia
 
Vipi wale waliokuwepo????

Usiwalaum wageni ikiwa hata wenyeji ambao wako na Potter tangu mwez wa 9 wanazidi kuregress.

Pottee sio manager sahihi kwa hawa wachezaj, mentality aliyonayo haiendan na wachezaj alionao.

Huwez poteza game mfululizo then useme that is life o the lads gave everything

Angalia Ten Hagg alivyowabadilisha man utd, almost wachezaj wote viwango vyao vimeimprove,

Potter tangu kaja mchezaj gani ambae kiwango chake kimeimprove?
 
Nimekusikia ngoja na mimi nije na orodha yangu,
Makocha 10 bora wenye mbinu na style bora na inayofanya kazi msimu huu wa 2022/23 ni
  1. Mikel Arteta - Ana timu changa lakini ameweza kukaa kileleni mwa ligi na kuwashinda akina pep ambaye ana timu nzuri
  2. Ten hag - Tangu apoteze mechi mbili za mwanzoni kabisa mwa ligi na bado akiwa mgeni, toka hapo amekuwa na wining percentage nzuri sana nafikiri hata kuliko PEP ukichulia ubora wa squad aliyonayo PEP
  3. Antonio Conte - Pamoja na timu mbovu aliyonayo amefanikiwa kuibakiza timu kwenye top 4
  4. Pep Guardiola - huyu alitakiwa kuwa kileleni mwa ligi kulingana na wachezaji bora alionao lakini kwa sababu ya ufahidhina kwenye style of playing ameishia kuwa kwenye namba 2 ambayo nayo anaweza kupokonywa na Man U
  5. Eddie Howe - timu ya kawiada sana iliyokuwa mkiani lakini kajitahidi na kuipeleka timu hadi nafasi ya 5
  6. Marco Silva - Timu ya Championshio lakini amekuwa na mbinu na style dhabiti iliyompa point za kutosha kuwa kwenye top 7 hadi sasa
  7. Roberto De Zerbi - Pamoja na kweli kwamba Potter aliiacha timu pazuri lakini pia naye kaonyesha kuwa kocha mzuri na mwenye mbinu hasa kwa kuweza kuibakiza timu juu ya table na pia kuweza kufunga timu kubwa kudroo na kwuafunga Liverpool mara 2, kuwasuprise Chelsea kwa goli 4,
  8. Thomas Frank - Kama Silva ana timu ya Championshio lakini amekuwa na mbinu na style dhabiti iliyompa point za kutosha kuwa kwenye top 9 hadi sasa
  9. Klopp - ni kocha mzuri lakini mbinu zimemuishia hadi anastrugle kutoka kwenye midtable hadi nafasi ay 6
  10. Unai Emery - pamoja an kuipokea timu October ameweza kuitoa timu mkiani hadi nasfai ya 11
Nimejaribu kufafanua sababu za kufikria kocha anastahili kuwepo kwenye hiyo nafasi
Achana na hamis yeye mahaba mbele ila wakifungwa mechi ngapi utasikia arteta out.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom