Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,696
Hata Potter umesahau alichokifanya big four alipokuwa Brighton msimu uliopita ,kuna big four ambaye hakubondwa na kudhalilishwa kwa kuchezewa mpira na Brighton msimu uliopita hata huu mwanzoni chini ya potter kabla dezerbi hajaja?
Hawa makocha wa timu ndogo wabaki huko huko aisee ,Chelsea timu kubwa
Hawa makocha wa timu ndogo wabaki huko huko aisee ,Chelsea timu kubwa
Breaking: Mason Mount out of Chelsea's game against Leeds.