Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,507
- 14,804
Nimesikia watu wanamuongelea diego simeone ila mimi huyu jamaa sitaki hata kumsikiaBinafsi mawazo yangu kwa sasa yapo kwa kocha gani tutaletewa baada ya Potter?
Potter safari yake imeshafika ukingoni sioni akichomoka kwa Dortmund na mechi zinazofuata baada ya Dortmund.
Huyu Leeds utd Potter anaweza kuokota point.
Naomba Mungu tuletewe kocha ambaye alishabeba makombe makubwa.
Mambo ya kusema sijui kuna makocha hawajabeba makombe lakini wanafundisha mpira mzuri, hapana hao hawatufai. Wabaki huko na mpira wao mzuri
Tunataka world class coach ambaye ana historia ya kubeba makombe makubwa katika ushindani mkubwa.