Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hatimaye nimeshaota sugu kiakili za kula kichapo Chelsea FC ikicheza na timu yoyote nakaa mkao wa kuangalia jinsi itavyofungwa huku Wachezaji wakirukaruka uwanjani kama Wakurya wanavyocheza nyimbo zao za asili...
 
Nimefurahi hakupewa red card kama angepata huyu kocha angetukia Hilo chaka kujifichia utumbo wake lembu juan david dah msimu tuimba lugha Moja huyu kocha anatudhalilisha
Enzo Ndugu yako kapotelea wapi au naye kawa Shabiki maandazi na kuhamia timu kubwa nyingine kwa mkopo?

Tulizoea kumwona akichachafya hapa hata kwa Kindengereko ikiwa Kocha yeyote ataharibu
 
Cheltako unalalaje kabla hujaona kombe!?

View attachment 2531153
Nimelala tangu jana 22:17 PM na kuamka 06:06 AM kwa ndoto mujarabu kabisa

Kikubwa wanangu wa Chelsea tusisahau kuzingatia mazoezi ya kukimbia, pushups, squash, kunyosha migongo, viuno, shingo, mbavu (viungo vyote kiujumla).
 
SIKU MKIPATA TAARIFA INAYOANZA NA


Breaking news / Team statement


Naomba mnitag nikamwagilie moyo. Haiwezekani tangu january mosi tumefurahi mara moja tu huku tukilia karibu mara kumi
BREAKING NEWS.......

Chelsea FC main body is firmly looking ahead to offer HP more three years additional contract to strengthen the new Chelsea FC owners philosophies of "TRUST THE PROCESS" from the former owner Roman Abrahamovich
 
"The boys gave everything" hiki ni kina bahari kwenye shairi la mtunzi maarufu Graham Potter kwenye shairi lake la "Trust the process"
Wachezaji wa Chelsea tangu TT aondoke;.

1. Ronyo ronyo kama hawafanyi mazoezi ya nguvu ya viungo vya miili.

2. Wananyang'anywa mipira kizembe.

3. Hawana mawasiliano mazuri uwanjani ( football chemistry ).

4. Hawajitumi kabisa kama wachezaji wa Man Utd na New Castle Utd jana kwenye fainali ya carabao cup.

5. Hawana morali.

6. Wamepoteza winning mentality.

7. Hawajui wanachokifanya kwa kutokuwa na formation ya kueleweka.

8. Wana uhakika wa kuendelea kuwepo Chelsea FC kwa sana sababu lawama atabebeshwa Kocha Mkuu HP.
 
Kitu boehly na wenzake inabidi wajifunze hii ni football na si baseball, Bila right coach huwezi toboa hata kama umenunua wachezaj wa bei ghal n talented ila bila kuwa na right coach hiyo ni kazi bure

Baseball unapata matokeo bila haya kuwa na kocha mzuri ila kwenye football nitofauti
Walikurupuka kabisa kumfukuza TT na kutuletea Chuck Norris, ni dhahiri nafsi zinawasuta lakini wanafichaje hii aibu sasa?
 
Wachezaji wa Chelsea tangu TT aondoke;.

1. Ronyo ronyo kama hawafanyi mazoezi ya nguvu ya viungo vya miili.

2. Wananyang'anywa mipira kizembe.

3. Hawana mawasiliano mazuri uwanjani ( football chemistry ).

4. Hawajitumi kabisa kama wachezaji wa Man Utd na New Castle Utd jana kwenye fainali ya carabao cup.

5. Hawana morali.

6. Wamepoteza winning mentality.

7. Hawajui wanachokifanya kwa kutokuwa na formation ya kueleweka.

8. Wana uhakika wa kuendelea kuwepo Chelsea FC kwa sana sababu lawama atabebeshwa Kocha Mkuu HP.
Hizo ndizo tabia za PROCESS lazima tuiamini hiyo process
 
Tusijisahaulishe jamani,
Jana akina dada zetu waliwapiga Arsenal 3-0
Fp6qZPPXgAQLRnh
 
Ukimfukuza kocha mwenye C.v ya UCL, Lete kocha mwingine wa caliber hiyo.

Ukimfukuza kocha wa makombe, lete kocha wa makombe.

TODDY unamfukuza TT, anatuletea kocha mwenye mafanikio ya kufuga ndevu.

Dortmund wanakuja kumchanua mapaja Potter hapo Stanford Bridge na Uwezo wa kumaliza top 4 hatuna.

TODDY aombe ushauri kwa Mtangulizi wake Roman, Toddy aache kukaza hilo likichwa lake likubwa kama transforma. View attachment 2531361
Potter ni mid table type of a coach.

Infact amekuta timu ipo kwenye form. Ameondoka bado timu ipo kwenye form.

Hakuwa na input yeyote.
 
Chelsea kushindwa kufunga magoli: Majibu kwa wanaoijua Chelsea

Hasselbaink saw it differently. He pointed out that the team weren’t creating enough chances in general – and also noted the lack of goals from set pieces, something which the team had been good at for a long time.

You can see Jimmy make his point in the clip embedded here:
 
Wachezaji wa Chelsea tangu TT aondoke;.

1. Ronyo ronyo kama hawafanyi mazoezi ya nguvu ya viungo vya miili.

2. Wananyang'anywa mipira kizembe.

3. Hawana mawasiliano mazuri uwanjani ( football chemistry ).

4. Hawajitumi kabisa kama wachezaji wa Man Utd na New Castle Utd jana kwenye fainali ya carabao cup.

5. Hawana morali.

6. Wamepoteza winning mentality.

7. Hawajui wanachokifanya kwa kutokuwa na formation ya kueleweka.

8. Wana uhakika wa kuendelea kuwepo Chelsea FC kwa sana sababu lawama atabebeshwa Kocha Mkuu HP.
Kama kocha mwenyewe tu yupo na loser mentality unategemea wachezaj watafanya nini
 
Hizo ndizo tabia za PROCESS lazima tuiamini hiyo process
Nah, hakuna process ya hivi, 5 months now hatuna improvement yoyote.
Area ipi tumeimprove,

Ni rahisi sana sasahivi kucheza na sisi hii yote ni kwa sababu ya kocha tulie nae anahisi Chelsea ni kama Brighton, ndio maana press conference zake ni za hovyo
 
Ishu sio kushindwa kutengeneza nafasi

Ishu ni timu kushindwa kufunga magoli kabisa.

Mechi ya jana 2nd half sijui kama tulifanya attempt ya maana kwenye goli la totte.

Paparazi STERLING anachezea nafasi kibao za kufunga magoli.

Harvetz slow motion baller.

Mudryk, Ziyech, Mount, Jao sio wafungaji wa mara kwa mara.

Kiufupi pamoja na usajili tuliofanya, bado hatuna wafungaji wa caliber ya juu

Ndio maana jana nili imagine tungekuwa na wakina Hazard, Willian na Costa kwenye ubora wao timu hii hii ya Potter ingefunga magoli kibao mbona.

-------Costa-------

Hazard--Jao-- Willan

----- Kante--- Enzo----

Chil-- Kolib -Fofana -James
Kama kocha bado ni Potter kusingekuwa na maajabu,.

Huwezi tegemea kila mechi individual brilliance,

Kimbinu kipi Potter amefanya mpaka sasa kinaonekana tumeimprove??

Andres Villas Boas alikuwa na akina Drogba,Lamps,Terry,Cole,Malouda,Mikel,Ivanovic ila kimbinu hakuwa vizuri tunajuwa kilichotokea ni nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom