Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuchel alinunua mabeki wangapi kama sio 3, Je Tuchel alipoteza mabeki wangapo waliondoka free au hamkutaka areplace pengo la Rudiger na Christiansen.
Siku mnajificha kwenye kivuli cha kununua mabeki wengi summer wakat mnasahau mabeki wangapi wameondoka summer umempoteza Rudiger n Christiansen hamtaki areplace hao???

Tuchel ameondoka huku tumecheza gane 7 all compitition. Katika league tulikuwa tumecheza game 6, 3wins 1 draw 2 loses,


Asante kwa kuadmit kuwa hata angekuwa tungestrugle ila sio kuwa hapa tulipo.

Unahisi tuchel angekubali vipigo vya kila siku katika game 17 ushinde tu game 2????
Kwa ninavyojua mimi Rudiger hakugoma kubaki ni chelsea ndiyo ilimkataa jamaa

Additional ya defenders ilifanya muwe na defenders almost 8 mpaka 11 nafikiri. Tuchel believes kwenye compactness kwenye defense so it is understandable.

Ila katika hizo games tayari alishaonyesha kwamba timu ina shida
 
Screenshot_20230226-192601.jpg
 
Katika mkosi ambao tumeupata THE BLUES ni Potter kupewa timu.

Na hata Potter akifukuzwa, huo mkosi hautaisha mpaka mchezaji mmoja atolewe kafara ya damu.

Ndio maana Auba anahaha kuondoka kabla Potter hajafukuzwa.
Auba hataki jahazi limfie 😁😁😁
 
Kwa ninavyojua mimi Rudiger hakugoma kubaki ni chelsea ndiyo ilimkataa jamaa

Additional ya defenders ilifanya muwe na defenders almost 8 mpaka 11 nafikiri. Tuchel believes kwenye compactness kwenye defense so it is understandable.

Ila katika hizo games tayari alishaonyesha kwamba timu ina shida
Hapana sio chelsea walikuwa hawamtaki, bali Chelsea walivyopigwa sanction hawakuwa na nafasi yoyote ya kurudi kwenye meza ya mazungumzo.


Chelsea haikumkataaa changamoto ilikuwepo kwenye salary, na ndio hapo team ikapigwa sanction. Same to Christiansen

Mention hao defender 11 waliokuwepo wakati wa tuchel don't exeggarate mkuu.

Umepoteza Christansen na Rudiger then unataka ubakk james,chilwel,Azp,Silva na Chalobah tu

Hata kama kulikuwa na shida mwanzo tusingekuwa hivi tulivyo sasa.
 
Hatimae

Breaking News!

GRAHAM POTTER STEP DOWN

Chelsea manager has finally stepped down. It has just been announced on Blue Sky news. He stepped down from his car in front of his office to continue his office task.

He is such a hardworking Man.

Thanks you for your attention!!
We jamaa una ujinga mwingi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom