juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Sijawah ona kocha aliyejaa excuse kama Potter, kila game atakuja na excuse, anahisi chelsea ni kama Brighton.Nimefurahi hakupewa red card kama angepata huyu kocha angetukia Hilo chaka kujifichia utumbo wake lembu juan david dah msimu tuimba lugha Moja huyu kocha anatudhalilisha


