Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,149
- 15,960
Utarundikia lawama kila Mchezaji lakini nani anayesababisha Mchezaji kukaba vizuri, kuchangia magoli na kutonyang'anywa mipira hovyo kama si Kocha? [emoji1787]Kipindi cha TT angalau James na Chilwell walikuwa wa moto kwenye kuchangia magoli.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app