Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Graham Potter - “We were talking before the game about watching the 'All or Nothing' documentary at Arsenal, 2 years into Mikel's reign & he's close to getting the sack, people are wanting him out & it's a disaster, obviously now things have changed a little bit"
IMG_20230227_212135_575.jpg
 
Pia mkae mkijua ishu sio POTTER kufukuzwa.

Ishu ni atakuja kocha yupi baada ya Potter?

Je tajiri ana mpango wa kuajiri world class coach?

Usishangae tukaletewa babu Ralf RangnickView attachment 2532238
Hawa matajiri wanampendelea kocha ambaye ni kibaraka wao (PUPPET) akiambiwa loftas cheek aanze anamuanzisha. Akiambie leo tucheze 2-4-4 anaweka hata bila kuangalia madhara yake. Kocha wa NDIO BOSI zidumu fikra zako daima
 
Waweza ona utani ila ni kweli.

Mara nyingi timu ikiwa hovyo kabisa hata umoja wa wachezaji unakua haupo.

Msimu huo Arsenal tunacheza na West Brom nafikiri, kuna mchezaji akadive wakagewa penati mwishoni mwa mechi Tierney akamkimbilia yule mchezaji ili ampige Xhaka akawa anamzuia Tierney.

Legend mmoja wa Arsenal akasema timu iko hovyo pale ilitakiwa Xhaka amsaidie Tierney kumpiga jamaa. Ila siku hizi unaona mchezaji wa Arsenal akiangushwa kuna crew inasogea yote, sometimes hadi kipa anakuja
wachezaji nao wanakua wa hovyo kama kocha wao, goli la pili la spars, mount alifanywa ngazi halafu alitulia kama hajafanyiwa chochote, wakati nahis ile ilikua faulo, kama goli la Trossard lisingekataliwa kama sio yule goli kipa kulalamika.
 
Pia mkae mkijua ishu sio POTTER kufukuzwa.

Ishu ni atakuja kocha yupi baada ya Potter?

Je tajiri ana mpango wa kuajiri world class coach?

Usishangae tukaletewa babu Ralf RangnickView attachment 2532238

Kuna makocha wazuri ila sio lazima wawe world class, world class kocha kwa sasa hawazid hata wa 5.


Ten Hag sio world class kocha ila anapotential ya kuwa hivyo, ni kocha anaesoma mchezo haraka na kufanya marekebisho. Ndani ya mda mfupi kazi yake inaonekana, almost wachezaj wote wa man utd unaona kabisa viwango vyao vimeimprove

Tunahitaj Kocha mwnye mentality ya kushinda, na atakaeweza kuimprove viwango vya wachezaj,
 
Kutoelewa maswala ya mpira ndio kunamkosti huyu tajiri akifikiria ule mkataba wa miaka 5 aliompa na ile realese ya pound mil 20 aliyolipa kule Brighton anachanganyikiwa kabisa
Nadhan mechi 2 zijazo zitatoa taswira.

Kama wakimfukuza Potter baada ya kutolewa na Dortmund itakuwa too late kama ni maamuzi inabidi yatoke sasa .

UEFA ya msim huu iko open , tungekuwa na kocha mzuri tungekuwa na nafas ya kuchukua
 
Hahahaaaa ,kwamba bosi miruzi Todd ana bichwa kubwa kama transformer za 500kvA 😃😃😃😃😃😃
Ukimfukuza kocha mwenye C.v ya UCL, Lete kocha mwingine wa caliber hiyo.

Ukimfukuza kocha wa makombe, lete kocha wa makombe.

TODDY unamfukuza TT, anatuletea kocha mwenye mafanikio ya kufuga ndevu.

Dortmund wanakuja kumchanua mapaja Potter hapo Stanford Bridge na Uwezo wa kumaliza top 4 hatuna.

TODDY aombe ushauri kwa Mtangulizi wake Roman, Toddy aache kukaza hilo likichwa lake likubwa kama transforma. View attachment 2531361
 
Kinachomponza Potter ni mtu anayependa trial n error kila game, hakuna hata game 3 mfululizo team kikosi kile kile kimecheza pamoja katika mechi zinazofatana.

Kila game ni kama tunaanza upya.
Karundikiwa wachezaji na tajiri miluzi, afanyaje sasa?
 
Kutoelewa maswala ya mpira ndio kunamkosti huyu tajiri akifikiria ule mkataba wa miaka 5 aliompa na ile realese ya pound mil 20 aliyolipa kule Brighton anachanganyikiwa kabisa
Na wachezaji wa tajiri miluzi wote miaka 5+-.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom