Hata kama lakini hawakuwahi kufungwa hivi.... hili coacher ni zuzuKinachotia hasira ni huku kujicompare na Arteta na Klopp wakat hao hawakuwa backed kama yeye![]()
Staki kuamini kama tuchel angefukuzwa ndani ya game 7 tu Roman hajawah fanya ushenzi wa hivyo.Ila Roman alikuwa na akili sana.
Roman alikuwa anaajiri kocha world class ambaye alikuwa akiingia kwenye timu na mafanikio yake, mbinu na mifumo lazima timu ibebe kombe.
Kocha akishazoewa na wachezaji kupelekea kupata matokeo mabovu. Roman alifukuza kumleta kocha mwingine world class.
Naamini Roman angekuwepo mpaka sasa, angemfukuza TT baada ya kubeba UCL na angemleta kocha mwingine ungekuta sasa hivi tupo kwenye mbio za ubingwa EPL.
Binafsi sipendi hiyo kitu inaitwa kujenga PROJECT kupitia kocha mmoja kwa muda mrefu.
TODDY BOEHLY asituchanganye arudishe timu yetu kwenye misingi ya kocha mpya kila msimu na kubeba kombe kila msimu.
Kama game ya Southampton hii ndio kila mtu hataki kukubali. Yani kulikuwa hakuna excuse ya sisi kutopata matokeoSouthamton na Spurs ni timu mbovu kwa sasa na bado wamezifunga Chelsea
Huyu kocha ni zuzu kuwahi kuifundisha Chelsea
Wamuondoe kabla mashabiki majinga hayajamvizia kumpiga na kumuumiza kwa sababu inakasirisha sana
Iyo hapo mkuuSIKU MKIPATA TAARIFA INAYOANZA NA
Breaking news / Team statement
Naomba mnitag nikamwagilie moyo. Haiwezekani tangu january mosi tumefurahi mara moja tu huku tukilia karibu mara kumi




Tukubali tukatae, Tuchel ni mzuri kuliko hii takataka tuliyonayo sasa.Kwa ninavyojua mimi Rudiger hakugoma kubaki ni chelsea ndiyo ilimkataa jamaa
Additional ya defenders ilifanya muwe na defenders almost 8 mpaka 11 nafikiri. Tuchel believes kwenye compactness kwenye defense so it is understandable.
Ila katika hizo games tayari alishaonyesha kwamba timu ina shida
Halafu tumewafunga home and away. Nadhani ndio timu pekee tuliyochukua point 6 kwake....Crystal palace wakiona Hii, itawauma sana ilikuwaje mpaka tukawafunga wakati kila timu inachukua point kwetu.