Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naomba mwenye stat. Za Bellingham Vs Enzo kw game ya jana. Mana nilikua naona huyo overrated bellingham anawaambia washabik muda wote washangilie kama vile alikua anaupga mpira mkuuuubwa, wkt nimeona kacheza kawaida tu.
 
Ulitegemea afanyaje? Na mtu ashampita foul yoyote pale ilikuwa red card. Na hii ingeturudishq nyuma zaidi.
Adeyemi ana pace kuliko enzo.
Kuna case mbili hapa
Case 1: Sidhani kama ile ya Enzo na Adeyemi ni Last Man Foul kwa sababu kulikuwa na Kipa. Last Man Foul inatumika pale mkabaji na mshambuliaji wamebaki wenyewe na goli tupu.

Case 2: Hata hivyo mwaka 2016 IFAB walifanya marekebisho kuondoa red card na kuifanya iwe yellow tu plus penalty nadhani kama ni kwenye eneo la penalty. Hii walifanya hivyo ili kuepuka kitu kinachoitwa double jeopardy (kuiadhibu timu husika mara mbili kwa kumpa red card mchezaji wake na hapo hapo kutoa penalty)

So kwa case zote mbili bado jana Enzo angecheza hiyo professional foul ili kuzuia goli
 
Kwann unawaza kwamba angecheza foul.?
N kwann tumekariri mazingira kama yale ni lazima mtu acheze foul.?
Kwan mtu hawezi kucheza vzr na kuuchukua mpira.?
Yn kutoka katikati ya uwanja mpaka golini, mchezaji mwenye thamani kubwa kama Enzo anashindwa kujua mbinu ya kuuchukua mpira kwa njia salama.?
Tuache kukariri wakuu.
Hata professional foul angecheza isingekuwa na madhara
 
Maboss ndio wameamua,

Hiring Potter ilikuwa ni mistake toka mwanzo. Now hawatak kuamin kama ilikuwa ni mistake labda atuprove wrong.

Tunaweza kuwa na long term project ila short term result nazo zinahitajika.

Good manager siku zote huwa
Anahakikisha wachezaj wanaadapt mfumo wake katika kipindi kifupi.
Kuhakikisha wachezaji wanamaintain mfumo wake katika kipindi kirefu.


Kwa aina wachezaj tulionao Enrique ni chaguo bora kwa sasa..

Potter ni kama AVB
Ila mimi naamini shinikizo litamuondoa tu Potter asipojirekebisha maana naona kama vile hajali hata matokeo yakiwa mabaya
 
Mourinho huyo katoa neno
Screenshot_20230216-230931.jpg
 
Cheltako A.K.A. Chelwowowo A.K.A. Ng'ombe FC.

Eti hii nayo ni timu ya mpira wa miguu. 😂
 
Mimi siamni na sioni Victor Osimhen akija kutatua matatizo ya Chelsea
Tunahitaji proven natural striker ambapo Victor Osimhen hayupo kwenye hiyo orodha
Ni boara mara kumi tukamuamini Datro Fofana aje kusaidiana na Broja kule mbele kuliko kumnunua mchezaji ambaye yuko too mucha decorated and overrated kwa paundi 100M++

Pia ni heri Lukaku ajaribiwe kwenye hii system mpya labda lile tanki litafiti na kututatulia uhaba wa magoli kwa muda mfupi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom