Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimeamini mpira una percentage ya bahati, jana Chelsea walikuwa ni moto, post mara mbili, clear goal save mara 2 ama 3, Clear off target kama 3 ama 4 hivi.
Nimeanza kupata imani ya timu langu - Bridge linaweza kutoboa -ISHARAH 🙂
 
Hayupo kikosi cha UEFA, we ulitaka ampangaje?
Najua hayupo kikosi cha UEFA. Kama angeanza kumuamini toka mechi za ligi angempeleka UEFA. Kai anahitaji msaada na kumpanga kila mechi sio kumsaidia anazidi kumuongezea pressure tu. Mfano mechi ya ligi dhidi ya West Ham Datro alikua bench na hakuingia kabisa.

Hii sio kwa Havertz peke yake wachezaji wote wanao under perform kama Cucurella na RLC ikiwezekana wapewe day off psychologically ni msaada kuliko kuwarundikia mechi nyingi na wanazidi ku underperform.
 
Kai sio aggressive kabisa, sasa hivi ndio anazidi kuwa legelege, hata huyo Fofana anamzidi agresivenenss kwa mbali sana
 
Ila alichokifanya Enzo 😂
Anamsindikiza adui kutoka katikati ya uwanja mpaka golini 😂 na jamaa anafunga 😂
Hata mimi namlaumu hapo, ajifunze tactical foul, ndicho kilichotakiwa hapo, anakulka njano yake moja lakini kaokoa jahazi
 
Jana Chelsea walikuwa wazuri vipindi vyote japo kipindi cha kwanza Dortmund walikaa na mpira sana kama dk 20/30 za mwanzo.
Mudryk hakuwa kwenye best form yake, Cheek hayuko kwenye form, Havertz hatumii nguvu na pace na anao mwili wa kumuwezesha kufanya hivyo

Tusipumbazwe na goli, ile ilikuwa counter hakuna aliyetegemea, Enzo kajitahidi kumhandle na Kepa alijitahidi kufanya timing ila kale katoto kalikuwa fast na mjanja sana

Dalili inaonesha Darajani tutakuwa na kazi ndogo sana

Natumaini pia akina Kante, Kova, Denis na Sterling watakuwa wako fit
Pale pa Ziyech acheze Sterling na Enzo atasaidiana na Kante au hao wengine isipokuwa Cheek
 
Mimi nilijua mapema ni kajisemea ebu ni tizame hu mpira wa Arsenal na Mancity huenda wakanipa faraja, jinsi nilivo kua napenda arsenal atoke kileleni kwenye table, na ni lifurahi sana baada ya hao kupoteza 3 - 1
Mimi simuamini huyu porter ni kujiumiza bure nakujipa matumaini ya kijinga eti, tumecheza vizuri sana japo tume lose, ni kama kujipa mwoyo, ila ukweli ni kwamba huyu porter hawezi kufikisha the blues popote is clueless, kwa wachezaji hao alio nao kocha ambao ni tactical anaweza akafanya maajabu na hiyo timu, endeleeni kujipa mwoyo ita fika mwisho hata Tody ata mfukuza bila kulazimishwa
Sir Alex Ferguson time anaanza kazi MANCHESTER United alikutana na vipigo 9 mfululizo na droo 15 mfululizo......kujenga tunu sio kitu chepesi labda mpate kocha kama Ten hang au Xavi
 
Sir Alex Ferguson time anaanza kazi MANCHESTER United alikutana na vipigo 9 mfululizo na droo 15 mfululizo......kujenga tunu sio kitu chepesi labda mpate kocha kama Ten hang au Xavi
Premier league ya Alex ferguson ni tofauti na ya sasa, nani atakusubilia ujenge timu yeye bila kujenga wa ulize arsenal amejena kwa miaka mingapi mpaka leo hawana wakika wa kubeba kombe, mkuu mpira hubadilika sasa hivu huyu furguson hata ukimleta hata kumaliza na fasi ya nne ni mtihani.
 
Ulitegemea afanyaje? Na mtu ashampita foul yoyote pale ilikuwa red card. Na hii ingeturudishq nyuma zaidi.
Adeyemi ana pace kuliko enzo.
Kwann unawaza kwamba angecheza foul.?
N kwann tumekariri mazingira kama yale ni lazima mtu acheze foul.?
Kwan mtu hawezi kucheza vzr na kuuchukua mpira.?
Yn kutoka katikati ya uwanja mpaka golini, mchezaji mwenye thamani kubwa kama Enzo anashindwa kujua mbinu ya kuuchukua mpira kwa njia salama.?
Tuache kukariri wakuu.
 
Mtu aliyekuzid pace unategemea utauchukua mpira kama sio kucheza foul?
 
Datro hayupo kwenye kikosi cha UEFA, hakuna striker mwingine

Kwa game ya leo kakosea wapi?

Auba alitolewa kwenye kikosi cha uefa ili Tuweze ongeza wachezaj watatu.
Broja injury
Sterling injury
Datro hayupo kwenye kikosi cha UEFA.

Unahisi nani angecheza leo?

Tuangalie performance nzima ya team leo imecheza je tunaweza maintain hii performance au tunaweza improve zaidi ya hapa?.

Chance za Felix, goal line clearance siku zozote zile ni goal, cha muhim tukicheza hivi mechi ijayo tunashinda.
Mechi ijayo tunacheza na Southampton ambaye anashika mkia. Tutaendelea kujisifia kwa performance hivihivi mpaka tutakapotoa draw na Southampton tena.

Performance ije na matokeo, imeshindikana basi draw kwa game ya jana. Naomba nijibu hili swali mwaka jana kwenye UEFA tulicheza na Madrid darajani tulisimikwa goli 3-1 tulivyoe da Bernabeu tuliwaramba 3-1 tulienda kutoka kwenye extra time, sasa kwa namna unavyoiona Chelsea hii unahisi unahisi inaweza kutoa game tough kama ile? Tulikua na kikosi cha kawaida ila ilikuaje tukacheza fainali za Carabao na FA unadhani ilikuja kuja tu?

Kocha ana mchango mkubwa sana nje ya kupanga kikosi na kusimama kwenye touchline tuseme ukweli Potter anashindwa.
 
Kipi kilitufanya tufungwe hizo hizo fainal za Carabao n FA, na hata game ya Madrid kipi kilitufanya tufungwe? Issue ni ile kutotumia chance zetu vizuri..

Wakina Boehly-Eghbal bado wanaiman na Potter sisi huku tushapoteza imani kuendelea kupiga kelele mtu afukuzwe ni kazi bure huku maboss wake bado wanamuamini kwa sasa.
Potter alisign 5 yr kwa mkataba wenye thaman ya £60M so kama tunahisi ataondoka hiv karibun tusahau

Huu sio wakat wa Roman. Labda maamuzi yabadilike ghafla ila kwa sasa hakuna dalili ya Potter kuondoka
 
Mpaka leo najiuliza scout aliyependekeza CUCURELLA asajiliwe kama anaakili timamu chezaji akija adui linamsogelea mara katikati ya safari linaghairi na kuanza kurudi nyuma in short ni chezaji la championship. Kingine akuna kocha anachoimporove sanasana ni uwepo wa James na Chilwell,hakuna mchezaji aliyeimprove under Potter ni mwendo na draw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom