Huyu ni mtu tumsajili
Huyu ni mtu tumsajili
Sababu ya kumpumzisha Auba ni ipi kwanini isiwe kai havert?Team News.
James leo hatokuwepo,anapumzishwa.
Cucurella n Auba hawapo kwenye kikosi cha leo
Silva nae hayupo kwenye kikosi cha leo amepmzishwa.
Mbona Denis ni mzuri sana hata kwenye first eleven anaingia vizuriHuyu Zakaria awe kama back up ila sio tegemezi wa 1st eleven.
Leo tunataka matokeo ya ushindi pekeeLeo tutamwangalia Potter, kama ameendelea kuiprove kikosi kiuchezaji baada ya ile performance na Dortmund.
Upo sahihi kabisa tuwape nafasi hawa wachezaji tuliokuwa nao kwanza kuliko kutupa pesa tena kwa strikerMimi siamni na sioni Victor Osimhen akija kutatua matatizo ya Chelsea
Tunahitaji proven natural striker ambapo Victor Osimhen hayupo kwenye hiyo orodha
Ni boara mara kumi tukamuamini Datro Fofana aje kusaidiana na Broja kule mbele kuliko kumnunua mchezaji ambaye yuko too mucha decorated and overrated kwa paundi 100M++
Pia ni heri Lukaku ajaribiwe kwenye hii system mpya labda lile tanki litafiti na kututatulia uhaba wa magoli kwa muda mfupi
Ngoja tuone ila bado nina wasiwasi maana baadhi ya wachezaji muhimu hawapo leoLeo tusiposhinda tena aisee itakuwa kitu cha ajabu sana.
Fofana ni kipaji na anakitu anacho, ila nashangaa sana sijui kwa nini hapewi nafasi, hata kutokea sub nafasi hapewi tunakalia kumkomalia yule mjeruman aliyekaa kama mlendaUpo sahihi kabisa tuwape nafasi hawa wachezaji tuliokuwa nao kwanza kuliko kutupa pesa tena kwa striker
Shida iliyokuwepo ni kwa Potter kutowapa chance hawa wachezaji hasa kwa Fofana
Potter kaletwa kwajili ya kukuza vipaji lakini utashangaa anashindwa kuvitumia kabisa hapo ndo nashindwa kuelewa aina yake ya ukochaFofana ni kipaji na anakitu anacho, ila nashangaa sana sijui kwa nini hapewi nafasi, hata kutokea sub nafasi hapewi tunakalia kumkomalia yule mjeruman aliyekaa kama mlenda
Neymar sio mzigo wewe,Team gn haimtk neymar duniani,Boehly mbona anawapenda sana masupastaa. Sasa Neymar wa nini, kuleta mzigo mwingine mkubwa badala ya kubaki na vijana wanaochipukia?
Cha msingi apunguze ubishooNeymar sio mzigo wewe,Team gn haimtk neymar duniani,
Ili ufanikiwe kwenye hayo makombe unahitaji wachezaji wazoefu kama huyo neymar
Mzigo nina maana umri na mshahara vs end productNeymar sio mzigo wewe,Team gn haimtk neymar duniani,
Ili ufanikiwe kwenye hayo makombe unahitaji wachezaji wazoefu kama huyo neymar
Sio kweliChristian Atsu nasikia amekutwa amekufa. Kama ni kweli Mungu awape moyo wa ushupavu familia yake kwa wakati huu mgumu wa kuondokewa na kipenzi chao
View attachment 2521716
Umefuatilia hiyo taarifa au unakanusha tuu ??Sio kweli
Nimefatilia tena sasa hv baada ya comment yako ni kweli aisee. But mwanzo ulikuwa ni uvumi. ,"He was found deed at the rubble of his apartment"Umefuatilia hiyo taarifa au unakanusha tuu ??
Mourinho ni Chelsea damu hata akizikwa napendekeza kaburi lake liwekwe bendera ya "The Blues"Mourinho huyo katoa nenoView attachment 2519797




Lukaku ni wastage of time HAPANAMimi siamni na sioni Victor Osimhen akija kutatua matatizo ya Chelsea
Tunahitaji proven natural striker ambapo Victor Osimhen hayupo kwenye hiyo orodha
Ni boara mara kumi tukamuamini Datro Fofana aje kusaidiana na Broja kule mbele kuliko kumnunua mchezaji ambaye yuko too mucha decorated and overrated kwa paundi 100M++
Pia ni heri Lukaku ajaribiwe kwenye hii system mpya labda lile tanki litafiti na kututatulia uhaba wa magoli kwa muda mfupi

Kuna vitu vingine vinachekesha sana kocha unaacha kuchukuwa namba 9 kwenye kikosi halafu unachukuwa makipa wa 3



