Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Screenshot_20230211-221447.jpg
 
Mimi nitamlaumu kwa sababu haya matatizo anayataka mwenyewe. Yule dogo Datro ni mchezaji mzuri sana lakini hampi nafasi dogo anakula benchi na wadororaji wanaanza kila siku. Kipindi cha Tuchel kina Mount wakizingua mara mbili mechi inayofata anakula bench, hiyo inamsaidia mchezaji kujituma sasa huyu Potter anawakumbatia tu.

Huyu anatakiwa akae bench hata mechi mbili ya tatu atokee bench same kwa wachezaji wengine watajifunza. Yapo mambo mengi Potter anayokeraa
Halafu kwa nini hamuweki Datro Fofana aisee , Havertz ana quality gani ya kucheza 90 minutes ?
 
Sure ,Felix Yuko poa Sana kufanya movement pale mbele moja kagongesha mwamba ,nyingine kupaisha . Tungekuwa tunaongeza 2-0 sasa hivi ,ngoja tuone second half itakuwaje ,game imebalance ,sijaona kama tumezidiwa sana ,sema kipindi cha pili kasi iongezwe . Havertz n kupooza mipira ,yaani ile akili yake haibadiliki ,apigwe benchi pimbi yule , sasa hivi ni forward quick movements na accuracy ndio wanatakiwa walifanyie kazi
Sad story kikosi cha Uefa, forward ni Havert pekee.
 
Mimi nitamlaumu kwa sababu haya matatizo anayataka mwenyewe. Yule dogo Datro ni mchezaji mzuri sana lakini hampi nafasi dogo anakula benchi na wadororaji wanaanza kila siku. Kipindi cha Tuchel kina Mount wakizingua mara mbili mechi inayofata anakula bench, hiyo inamsaidia mchezaji kujituma sasa huyu Potter anawakumbatia tu.

Huyu anatakiwa akae bench hata mechi mbili ya tatu atokee bench same kwa wachezaji wengine watajifunza. Yapo mambo mengi Potter anayokeraa
Hayupo kikosi cha UEFA, we ulitaka ampangaje?
 
Overall performance leo ilikuwa nzuri,

Tumetengeneza nafas za kufunga Felix misses, goal line clearance, etc

Felix ni kama ndio gundi kwa sasa kwenye team yetu.

Je tunaweza maintain performance ya leo tukaichukulia kama matokeo chanya na tukaenda nayo katika mechi zijazo?

Kama tukianza cheza vizuri kama leo na tukawa tunacreate chance basi matokeo positive tutaanza yapata.

Kazi iliyopo ni kuhakikisha tunamaintain hii performance huku tukiimprove kutokea hapa.
 
Chelsea’s last 15 games under Graham Potter…

8 losses
4 draws
3 wins
Kwa records hizi bado mnajipa matumaini kweli na Potter
 
Tukisema hata aondoke nikazi bure kama wenye pesa bado wanamuona ni mtu sahihi na yupo katika mipango yao.

Kama ungekuwa utawala wa roman siku nyingi tu angekuwa ashaondoka.

Kwa sasa tukubali hizi ni zama mpya huenda potter tukawa nae mda mrefu au tusiwe nae maamuzi yapo kwa Boehly-Eghbal.

Kwa sasa tunapocheza tuangalie hata kitu positive kama tunaweza kukipata na ne tunaweza maintain hapo,ile njaa ya kutafuta goal kama leo tulionyesha tunaweza onyesha mechi zijazo na tukamaintain na kuimprove performance yetu kutokea hapa
 
Ila alichokifanya Enzo 😂
Anamsindikiza adui kutoka katikati ya uwanja mpaka golini 😂 na jamaa anafunga 😂
 
Overall performance leo ilikuwa nzuri,

Tumetengeneza nafas za kufunga Felix misses, goal line clearance, etc

Felix ni kama ndio gundi kwa sasa kwenye team yetu.

Je tunaweza maintain performance ya leo tukaichukulia kama matokeo chanya na tukaenda nayo katika mechi zijazo?

Kama tukianza cheza vizuri kama leo na tukawa tunacreate chance basi matokeo positive tutaanza yapata.

Kazi iliyopo ni kuhakikisha tunamaintain hii performance huku tukiimprove kutokea hapa.
Mimi nilijua mapema ni kajisemea ebu ni tizame hu mpira wa Arsenal na Mancity huenda wakanipa faraja, jinsi nilivo kua napenda arsenal atoke kileleni kwenye table, na ni lifurahi sana baada ya hao kupoteza 3 - 1
Mimi simuamini huyu porter ni kujiumiza bure nakujipa matumaini ya kijinga eti, tumecheza vizuri sana japo tume lose, ni kama kujipa mwoyo, ila ukweli ni kwamba huyu porter hawezi kufikisha the blues popote is clueless, kwa wachezaji hao alio nao kocha ambao ni tactical anaweza akafanya maajabu na hiyo timu, endeleeni kujipa mwoyo ita fika mwisho hata Tody ata mfukuza bila kulazimishwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom