lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Matajiri ndio waliotaka hivyo, Arsene Wenga alikuwa hapewi mshiko, kazi yake kubwa kukuza vifaranga. Tofauti na Chelsea kapewa mshiko wa kutosha.Premier league ya Alex ferguson ni tofauti na ya sasa, nani atakusubilia ujenge timu yeye bila kujenga wa ulize arsenal amejena kwa miaka mingapi mpaka leo hawana wakika wa kubeba kombe, mkuu mpira hubadilika sasa hivu huyu furguson hata ukimleta hata kumaliza na fasi ya nne ni mtihani.
Anyway, Mimi naamini Potter atakuja kuwa kocha mzuri ila tutahitaji kuvumilia sana, sio msimu huu wala ujao


