Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwann unawaza kwamba angecheza foul.?
N kwann tumekariri mazingira kama yale ni lazima mtu acheze foul.?
Kwan mtu hawezi kucheza vzr na kuuchukua mpira.?
Yn kutoka katikati ya uwanja mpaka golini, mchezaji mwenye thamani kubwa kama Enzo anashindwa kujua mbinu ya kuuchukua mpira kwa njia salama.?
Tuache kukariri wakuu.
Hebu kaangalie list ya wachezaji wenye pace kubwa bundeslinga halafu uone yule dogo yupo nafasi ya ngapi.
 
Chelsea wanamchakato wa kumpeleka mkopo Brazil. Hataweza kuichezea Chelsea msimu huu
Kuna taarifa zinapingana, vyanzo vingine vinasema kanyimwa tena permit na zingine zinasema Chelsea hawakuomba tena permit kwa mara ya pili
Tukutane July 2023

1676672106377.png

1676672226314.png
 
Team News.
James leo hatokuwepo,anapumzishwa.
Cucurella n Auba hawapo kwenye kikosi cha leo
Silva nae hayupo kwenye kikosi cha leo amepmzishwa.
 
Maandalizi ... wiki nyingine hii

Early Chelsea team news​

Chelsea manager Graham Potter says both Raheem Sterling and Ben Chilwell will be involved in the matchday squad against Southampton on Saturday.
"It is positive. We're going to train later on this afternoon. Provided they come through that OK, they will be in the squad," said Potter.
Chelsea are still having to cope without injured quartet N'Golo Kante (thigh), Christian Pulisic (knee), Armando Broja (knee) and Edouard Mendy (finger).
Mateo Kovacic, Wesley Fofana and Denis Zakaria all recovered from injury to feature in the matchday squad against Dortmund and should be in contention.
Benoit Badiashile, Noni Madueke, Pierre-Emerick Aubameyang and David Fofana, who were all ineligible in midweek after being left out of the Champions League squad, are all available for selection on Saturday.
 
Nasikia Auba hatakuwepo hata kama kocha kasema atakuwepo kwenye press conference. Sijui kuna nini kati ya Auba na GP
 
Sheria zipo ila marefa huwa wanashindwa kuinterpret.
Ila na sisi tunatafsiri vibaya sheria. Mfano lastman foul wakati kipa yuko golini huwa haiapply kabisa. Last man foul inaaply pale kipa katoka golini na foul imefanyikia nje ya penalty box. Kwa sababu nje ya penalty box hakuna penalty mhusika anaweza kupewa red card kulingana na refa na waaaidizi wake watakavyotafsiri kama kweli kamnyima au la
Ndani ya penalty box kama goli liko wazi halafu akanyimwa kufunga sheria inasema njano na penalty juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom