lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Kuna mhariri mmoja wa media kubwa kule UK naye kachapia eti Noni Madueke atakuwepo kwenye kikosi. Nikatafuta sehemu ya kukoment hawajawekaDatro hayupo kwenye kikosi cha uefa
Kuna mhariri mmoja wa media kubwa kule UK naye kachapia eti Noni Madueke atakuwepo kwenye kikosi. Nikatafuta sehemu ya kukoment hawajawekaDatro hayupo kwenye kikosi cha uefa
Huyo lazima aanze kwa sababu hao wengine ndio tu wametoka injury. Kova sidhani kama ataanza, Labda Mount badala ya Cheek au GallagherHiyo Cheek ondoa kabisa, he is just an average player, usibabaishwe na urefu wake.
Kuna wale wa Sky Sport waliwadanganya watu sana.Kuna mhariri mmoja wa media kubwa kule UK naye kachapia eti Noni Madueke atakuwepo kwenye kikosi. Nikatafuta sehemu ya kukoment hawajaweka
Line up sio mabya, Cheek alikuwa lazima aanze kwa sababu Kova anahitaji muda kidogo kwa ajili ya fitnessOur XI vs Dortmund
Kepa
James Silva Koulibaly Chilwell
RLC Enzo
Ziyech Felix Mudryk
Havertz
Kosi ni la ushindi cheek mechi ya west ham alicheza vizuriLine up sio mabya, Cheek alikuwa lazima aanze kwa sababu Kova anahitaji muda kidogo kwa ajili ya fitness
Mzee Koulibally naona karudi kwenye line up
Sijui HP analipendea nini haswaa hilo li CheekCheek hamna Mchezaji mule, simkubali hata kidgo


Ingia tweeter search Dortmund vs Chelsea ,huko utakuta link kibao ,ni kuingia na kustream kwa raha zako , tweeter kuna link na account nyingi zinarusha live football events wala huitaji app unaweza browse tweeter web humoLink ya kuangalia UEFA champions league leo hii tafadhali Wadau naomba, msiniangushe.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hiyo kesho Barca atakachokufanya hata naogopa kusemaNyie wapuuzi mnapelekewa moto hatari
Dah ,Felix kakosa goli mbili,dahHuyo lazima aanze kwa sababu hao wengine ndio tu wametoka injury. Kova sidhani kama ataanza, Labda Mount badala ya Cheek au Gallagher
Line up itaweza kuwa 4-2-3-1 kama kawa
-------------- Kai Havertz --------------
Mudryk --------- Felix-------------Ziyech
--------Enzo ----------- Cheek----------
Chilwell ---Silva ---- Chalobah ---- James
------------------- Kepa -------------------
Link ya kuangalia UEFA champions league leo hii tafadhali Wadau naomba, msiniangushe.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
mwenye link ya game atuwekee basi hapa wakuu