Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyie kenge mmesajili wachezaji wote, baada kuona wachezaji wameisha mkaamua mumsajili na mdogo wake Snoop Dogg Doggy.
Screenshot_20230213_144102.jpg
 
Maombi mengi toka kwenu yanahitajika sana Ndugu zangu, tayari tumeshapoteza Dume lingine likiungana na punga lenzake lililojutangaza J3 wiki hii.

Mungu twakusihi utuokoe na hili pepo chafu la ushoga sisi na Watoto wetu, Amina
Screenshot_2023-02-13-23-31-39-30_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
Screenshot_2023-02-13-23-32-25-47_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
Screenshot_2023-02-13-23-32-35-30_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Yupo njiani anatambulishwa soonView attachment 2517045
Akija itakuwa hivi

Line up 4-2-3-1

-------------- Datro Fofana --------------

Mudryk --------- Santos-------------Felix

--------Enzo ----------- Kante ----------

Chilwell ---Badiashile ---- Silva ---- James

------------------- Kepa -------------------

Line up 4-2-3-1

-------------- Datro Fofana --------------

Mudryk --------- Felix-------------Madueke

--------Enzo ----------- Santos ----------

Chilwell ---Badiashile ---- Silva ---- James

------------------- Kepa -------------------

Line up 4-2-3-1

----------- Joao Felix -----------

Mudryk ------- Santos------Madueke

-----Enzo --------- Kante --------

Chilwell--Badiashile--Silva--James

-------------- Kepa --------------
 
Simuoni akicheza no 10 namuona kwenye no 6, 8 na central back kwa jinsi nilivyomuona kwenye uchezaji wake ulivyo
 
Akija itakuwa hivi

Line up 4-2-3-1

-------------- Datro Fofana --------------

Mudryk --------- Santos-------------Felix

--------Enzo ----------- Kante ----------

Chilwell ---Badiashile ---- Silva ---- James

------------------- Kepa -------------------

Line up 4-2-3-1

-------------- Datro Fofana --------------

Mudryk --------- Felix-------------Madueke

--------Enzo ----------- Santos ----------

Chilwell ---Badiashile ---- Silva ---- James

------------------- Kepa -------------------

Line up 4-2-3-1

----------- Joao Felix -----------

Mudryk ------- Santos------Madueke

-----Enzo --------- Kante --------

Chilwell--Badiashile--Silva--James

-------------- Kepa --------------
Yaan kikosi cha harry poter kisiwe na cucu au havertz. Sio kweli.
 
Karibia page zote za timu za ulaya zimepost kumsapoti huyo firigisi.
Inabidi tuzoee tu ,kama macaptain ligi zote hapo ulaya wanavaa badge mara kibao tu za kusuport lgbtq community ,sioni cha ajabu hapo,
Kuna watu powerful sana duniani hapa wako behind hii movement ,na ndio hao ambao wengi wamiliki wa makampuni makubwa duniani ambayo ndio sponsors WA tournaments ,timu za mpira , matangazo ,media nk , so kupambana nao ni next to impossible
 
Pitia line up uliyoweka
Unatakiwa kwanza kwa upande wako ujue no. 10 ni nani ndipo ukoment kama Santos anaweza au hawezi kucheza no. 10. Santos anaweza kucheza nafasi zote za CM na Atacking midfielder ambayo no. 10 included inadepend na formation. Japo mara nyingi hasa hii micuano ya Brazili kacheza kama CM no. 6 na amekuwa dynamic zaidi kwenye formation ya 4-4-2 through out.

Kwenye 4-4-2 no. 10 ni tofauti na kwenye 4-2-3-1

Mfano role ya no. 10 inaweza kuchukuliwa no 6 au 10 mwenyewe. Kama kiungo husika atapewa role ya kuwa dynamic yaani kudefend na kushambulia basi itakuwa hivyo, bahati tu soka huwa haitabiriki, itategemea kabisa na kocha na mbinu mbinu zake na tweaked tricks atakazotumia. Iko tu deep and haitabiriki tukibishana hapa tunaweza maliza mwezi mzima bila kufanya kazi.

So nadiriki kusema kuwa Santos alikuwa akicheza kama na. 6 lakini role yake kubwa ilikuwa kama na. 10 na ndio maana aliweza kuwa mfungaji zaid ya mkabaji japo anauwezo wa kukaba
Mwenzake Alexsander ndie alikuwa anachez ano. 10 kwenye 4-4-2

Ukija kwenye 4-2-3-1 ambayo Potter kwa sasa anatumia zaidi kulingana na wachezaji waliopo, positio ya katikati ndio ya na. 10 ambayo anacheza Felix au Nkunku akija, Au Mount au saa nyingine Havertz. Mimi kwa maoni yangu na kwa jinsi Santos alivyocheza na Brazil U20, anaweza kuwa CM wa kaiwada namba 6 lakini pia anaweza kuwa atacking midfielder wa na. 10 kwenye 4-2-3-1
 
Ila mazee kesho tunatoboa kweli mbele ya vijana wa Dortmund ?
Tusijetia aibu aisee , semi sometimes spirit ya Uefa na kwenye ligi kwa Chelsea huwa inakuwa tofauti , unakuta timu inform mbovu kimoja kwenye ligi ila Uefa tubaubonda ,naomba kesho tuwe na hiyo spirit
 
Mechi zote za makundi hatukufungwa tukiwa na Potter na timu mbovu ya akina Cheek, Chalobah, Azpilicueta, Koulibaly, Havertz, Auba, Cucu, Jorginho, Galagher, Mount, Pulisic na ushenzi wote

Kesho tunaingia uwanjani bila ya kuwategemea wengi wa hao
Labda atakayelazimishwa kesho kwenye namba ni Chalobah, Cheek na Havertz

Line up itaweza kuwa 4-2-3-1 kama kawa

-------------- Kai Havertz --------------

Mudryk --------- Felix-------------Ziyech

--------Enzo ----------- Cheek----------

Chilwell ---Silva ---- Chalobah ---- James

------------------- Kepa -------------------
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom