Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasa timu inayofanya vizuri baada ya miaka 20 ndio unataka tuiige ? Kwa akili yako kabisa unaamini kwamba Potter kuna wachezaji aliwahitaji wazuri kuliko hawa alio letewa? Kwamba Potter ana football philosophy yake?
Nyie ndo wale mnaamin ukiwa mzee ndo unajua kila kitu kumbe wajinga nao huzeeka kizuri huigwa hatakama ni cha jana
 
Kinachonichosha kwa Potter ni kukumbatia wachezaj ambao wanacheza vibaya
Havertz n Mount week in week out wanacheza vibaya ila cha ajabu bado wataendelea kuanza.

1.. bKwa nini wengine wakicheza vibaya anawaweka bench ila hao wawili utasema wanapicha zake za magendo

Kwa dakik 15 alizocheza Datro Fofana kafanya+ mengi kuliko dakika 90 alizocheza havertz.

Potter soon watu wataanza kutokuwa na imani nae kama ataendelea hivi hiv kuwa clueless na kukumbatia zile takatak 2
 
Aliyenunua Chelsea na kufanya usajili anaumia moyoni.
Potter sio kocha
Wachezaji wengi tumejipiga risasi mguuni. Wengi wataflop
Wachezaji tulionunua baada ya kuwa na supporting technical staff (January) wako poa tatizo ni masalia ya utawala wa Lampard na TT walionunuliwa bila sport director's japo mzizi mkuu ni kocha asiyekuwa na game plan na mid table tactics
 
Kinachonichosha kwa Potter ni kukumbatia wachezaj ambao wanacheza vibaya
Havertz n Mount week in week out wanacheza vibaya ila cha ajabu bado wataendelea kuanza.

1.. bKwa nini wengine wakicheza vibaya anawaweka bench ila hao wawili utasema wanapicha zake za magendo

Kwa dakik 15 alizocheza Datro Fofana kafanya+ mengi kuliko dakika 90 alizocheza havertz.

Potter soon watu wataanza kutokuwa na imani nae kama ataendelea hivi hiv kuwa clueless na kukumbatia zile takatak 2
Not soon, mashabiki na wafuatiliaji wazuri wa mpira wote wamestuka kocha hakuna pale. Japo kutengeneza timu sio overnight process lakini ukiangalia huoni kitu anachoboresha kwenye uchezaji wa timu. Naimani hata kina Toddy na wenzake wameshaanza kufikiria kupata kocha wa kaliba ya Chelsea Timu hata ipate kona 100 hakuna madhara sijui mazoezini wanapractise nini kuhusiana na set pieces
 
Wachezaji tulionunua baada ya kuwa na supporting technical staff (January) wako poa tatizo ni masalia ya utawala wa Lampard na TT walionunuliwa bila sport director's japo mzizi mkuu ni kocha asiyekuwa na game plan na mid table tactics
Aiseee kumbe tuna tatizo kubwa. Binafsi siangalii game zetu maana hazieleweki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom