Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii timu ukiangalia sajili zao unaweza kutishika mpaka ukatamani uwape epl mapema ,ila Sasa uwanjani wanakata viuno kama yondo sisita
Jinga jinga wewe, unadhani mpira unatengenezwa na kutathminiwa kwa mechi 1 tu? Jinga KUU la majinga toka Mwa-City [emoji57][emoji35]
 
Leo nikasema nimuangalie Mudryk labda nitaendelea kujilaumu kwa nini tulimuacha aende Chelsea.. dooh![emoji23][emoji23]

Kumbe ni mzururaji mzuri tu.

Ngoja nisimalize maneno, huenda 2nd half akani prove wrong.
Meza maji ya bariiiidi na ndimu ushushie maumivu we Arsepimbi [emoji16]
 
Kuhusu Havertz tulisha maliza mjadala hapa, Havertz ni kenge sana
Ht.0-0

Niliyoyaona
Tunatumia sana upande wa Ziyech+James na kuutelekeza upande wa mudryk

Kai awe serious yani unaweza sema kichwa chake ndio huwa kinanguvu kuliko miguu.

Enzo anaonesha kitu ambacho mid yetu ilikuwa inakosa.
 
Kuna improvement kwemye defence ,ndio kilichonivutia zaidi , uwepo wa kisiki Silva ,James na utulivu na umakini wa badiashile umesaidia sana kuondoa mapungufu ya machepele cuculella.
Cuculella kajitahidi sana leo hii, japo bado pasi za mwisho kule mbele hatujawa vizuri kabisa nao akina Havertz wanapata golden chences tena wanaremba remba kama akina Sawanogo tu wa Makolokolo [emoji35]
 
Havertz kmamae zake limekosa nafasi tatu za wazi ,na Ziyech moja ya wazi ,kuna uzembe pale mbele , tunahitaji clinical finishing mentality Kwa hao watu wa hapo mbele aisee tunahitaji mtu ruthless mbele ya nyavu ,havertz anazingua sana
Kakosa mbili, tusimhukumu anajitahidi sana. Pasi ya Mount beki aligusa ikamburugia target
Ile ya yeye kipa alikosea kido mahesabu ikagonga mwamba. Nakubali anatakiwa kuwa clinical zaidi. Tungekuwa 2 mbele kwa HT
 
Kama Anajitahidi kucheza upuuzi sawa
Kakosa mbili, tusimhukumu anajitahidi sana. Pasi ya Mount beki aligusa ikamburugia target
Ile ya yeye kipa alikosea kido mahesabu ikagonga mwamba. Nakibali anatakiwa kuwa clinical zaidi. Tungekuwa 2 mbele kwa HT
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom